Makatibu Mahsusi watakiwa kutunza siri za serikali
HomeHabari

Makatibu Mahsusi watakiwa kutunza siri za serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Mahsusi nchini kitekeleza majukumi.yao kwa kuzingatia weledi na kuwa waadilifu. Ametoa wito...

Waziri mkuu wa DRC ajiuzulu
Wananchi Watakiwa Kuyatumia Mabaraza Ya Ardhi Kupata Suluhu Ya Migogoro Ya Ardhi
Watu Wenye Ulemavu Changamkieni Asilimia 2 Ya Mikopo Inayotolewa Na Serikali Kupitia Halmashauri Ili Mjiendeleze Kiuchumi: Naibu Waziri Ummy


Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Mahsusi nchini kitekeleza majukumi.yao kwa kuzingatia weledi na kuwa waadilifu.

Ametoa wito huo jijini Dodoma wakati akifungua rasmi mkutano wa tisa wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi.

Rais Samia amewataka Makatibu Mahsusi nchini kuacha kutoa siri ama nyaraka za serikali, kwani hilo ni kosa kubwa kwenye utumishi wa umma.

Amefafanua kuwa siri nyingi za serikali zimekuwa zikisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, jambo linaloonyesha baadhi ya Makatibu Mahsusii si waaminifu.

Kwa mujibu wa Rais Samia Suluhu Hassan, kada hiyo imepewa jina la Makatibu Mahsusi kwa kuwa wao ni mahususi na kwamba kama atakayetokea na kujiona sio mahususi basi yeye ni mpiga chapa.

Amewataka kujiheshimu, kuheshimu sehemu zao za kazi na sehemu za kazi za wengine.

Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza Makatibu Mahsusi nchini kwa kazi kubwa ambayo wamekuwa wakiifanya na kuongeza kuwa ufanisi wa viongozi mbalimbali unawategemea wao.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Makatibu Mahsusi watakiwa kutunza siri za serikali
Makatibu Mahsusi watakiwa kutunza siri za serikali
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpIfrTuVr0gsDbZWNkfQiVCJj0vCn2CDS5-Z4_prt4u7Kry2oX7LsmvwtGV_zAK4yHHJEYKHpIErHecrk8_-0RRI9AvD5pTjYqtLT4DvNDbAjxb6jAOTf5jM1rP86p_AFQOWoIN7ks6lpX6ikc3ieO-_2RPfYMx8KeSgm_AlG0za4DI5KMWBcH87C0AA/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpIfrTuVr0gsDbZWNkfQiVCJj0vCn2CDS5-Z4_prt4u7Kry2oX7LsmvwtGV_zAK4yHHJEYKHpIErHecrk8_-0RRI9AvD5pTjYqtLT4DvNDbAjxb6jAOTf5jM1rP86p_AFQOWoIN7ks6lpX6ikc3ieO-_2RPfYMx8KeSgm_AlG0za4DI5KMWBcH87C0AA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/makatibu-mahsusi-watakiwa-kutunza-siri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/makatibu-mahsusi-watakiwa-kutunza-siri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy