BOSI PSG ATAKA MADRID WAPEWE ADHABU KUBWA
HomeMichezo

BOSI PSG ATAKA MADRID WAPEWE ADHABU KUBWA

 MKURUGENZI wa masuala ya michezo ndani ya Klabu ya PSG, Leonardo Araujo amesema kuwa Klabu ya Real Madrid inapaswa kupewa adhabu kubwa. ...

SIMBA YATUPA KOMBORA KIMTINDO KWA YANGA, YAWAPA SOMO LA KUWAFIKIA WALIPO
AZAM FC V IHEFU NI VITA YA KISASI KESHO AZAM COMPLEX
SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA

 MKURUGENZI wa masuala ya michezo ndani ya Klabu ya PSG, Leonardo Araujo amesema kuwa Klabu ya Real Madrid inapaswa kupewa adhabu kubwa.

Imekuwa ikielezwa kuwa Madrid wanahitaji saini ya mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe ambaye bado ni mali ya timu ya PSG inayoshiriki Ligue 1 hivyo kitendo cha kuripotiwa kwamba amefanya mazungumzo na timu inayohitaji saini yake ni kinyume na utaratibu kwa kuwa bado ana mkataba na timu yake ya sasa.

Kiongozi huyo amesema kuwa Madrid walionyesha kutokuwa na nidhamu kwa PSG pamoja na soka kiujumla kutokana ana kuzungumza kuhusu mchezaji wa timu nyingine.

Mbappe mwenyewe aliwahi kusema kuwa anataka kuondoka PSG ili akapate changamoto mpya na timu ambayo anatajwa kwenda ni Madrid ambao wanatajwa kuwa wamekuwa wakimshawishi afanye hivyo jambo ambalo limewakasirisha mabosi wa PSG.

Taarifa imesema kuwa Madrid wapo tayari kutoa kitita cha Euro milioni 200 kwa ajili ya mchezaji huyo kinda raia wa Ufaransa.

"Nafikiri Madrid wanatakiwa kupewa adhabu kwa kuwa wamekuwa wakipambana tu kila siku kuwa wanataka kumsajili Mbappe ambaye wanafahamu kwamba ana mkataba na PSG,".  



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BOSI PSG ATAKA MADRID WAPEWE ADHABU KUBWA
BOSI PSG ATAKA MADRID WAPEWE ADHABU KUBWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjHszhHmwNf69wgUjWA4nFXuht0BN4uL6L2V1ct-2Hg70sB2KVEJ74zocpgDXuMViM1I2eYZF0W_JpkQ4bWq7KROxGCplacSKGBtl8P4_WoRCQ7obLMiXyYH8ARYQEg2EOc6eglXSWmmnPAWDNAujShKX1BNdBpJuPJiytrlsXvtpewHMVlkGy9GH1eRg=w640-h364
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjHszhHmwNf69wgUjWA4nFXuht0BN4uL6L2V1ct-2Hg70sB2KVEJ74zocpgDXuMViM1I2eYZF0W_JpkQ4bWq7KROxGCplacSKGBtl8P4_WoRCQ7obLMiXyYH8ARYQEg2EOc6eglXSWmmnPAWDNAujShKX1BNdBpJuPJiytrlsXvtpewHMVlkGy9GH1eRg=s72-w640-c-h364
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/bosi-psg-ataka-madrid-wapewe-adhabu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/bosi-psg-ataka-madrid-wapewe-adhabu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy