JUMA MGUNDA WA COASTAL UNION AFUNGUKIA ISHU YA KUFUTWA KAZI
HomeMichezo

JUMA MGUNDA WA COASTAL UNION AFUNGUKIA ISHU YA KUFUTWA KAZI

  JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union ya Tanga amesema kuwa kuhusu kufukuzwa ndani ya timu hiyo anaskia tu kama wengine na yeye bado ...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
GOMES ATAJA KAZI YA BOCCO, MUGALU NA KAGERE KWA YANGA
JORGINHO ALIFUNDISHWA SOKA NA MAMA YAKE

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union ya Tanga amesema kuwa kuhusu kufukuzwa ndani ya timu hiyo anaskia tu kama wengine na yeye bado yupo kazini.

Mgunda amekiongoza kikosi cha Coastal Union kwenye jumla ya mechi 28, alishinda 8 moja ilikuwa mbele ya Yanga kwa kuitungua mabao 2-1, sare 9 na kupoteza 11  huku kikosi kikiwa nafasi ya 11.

Hivi karibuni zilienea taarifa za Mgunda kafutwa kazi ndani ya Coastal Union ikiwa ni muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kutolewa hatua ya 16 bora na Mwadui FC katika Kombe la Shirikisho.

Akizungumza na Championi Jumatano, Mgunda alisema kuwa habari hizo amekuwa akiskia kama ambavyo wengine wanaziskia.

“Bado ninaendelea kuripoti kazini ingekuwa hivyo hata kazini nisingekwenda, ukweli ni kwamba hata mimi hizo taarifa ninaskia kama ambavyo wanaskia wengine, hivyo kwa kuwa ninaripoti kazini basi kila mmoja anapaswa achuje mwenyewe atafute ukweli.

“Kwa sasa baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Shirikisho akili zetu ni kwenye mechi zetu za ligi huko tutapambana ili kufanya vizuri,” alisema Mgunda.

Mchezo wake ujao wa ligi ni dhidi ya Simba unatarajiwa kuchezwa Mei 11, Uwanja wa Mkapa, ule wa mzunguko wa kwanza walipokutana ubao ulisoma Coastal Union 0-7 Simba.

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JUMA MGUNDA WA COASTAL UNION AFUNGUKIA ISHU YA KUFUTWA KAZI
JUMA MGUNDA WA COASTAL UNION AFUNGUKIA ISHU YA KUFUTWA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXdlfCdi5eNmFlUUNRYSSUIC81Pedv5chkl6M-CV5nRlnnAwewZl2srsHyb-fD4fPYNVqo7qMp50uZIhZ8bxYl7ASxw9kNw-0HQgUxWlthzWL4AW8AmAqEAB3hbgfqhYpgStNor9larNu7/w640-h426/IMG_1944.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXdlfCdi5eNmFlUUNRYSSUIC81Pedv5chkl6M-CV5nRlnnAwewZl2srsHyb-fD4fPYNVqo7qMp50uZIhZ8bxYl7ASxw9kNw-0HQgUxWlthzWL4AW8AmAqEAB3hbgfqhYpgStNor9larNu7/s72-w640-c-h426/IMG_1944.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/juma-mgunda-wa-coastal-union-afungukia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/juma-mgunda-wa-coastal-union-afungukia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy