AZAM FC V IHEFU NI VITA YA KISASI KESHO AZAM COMPLEX
HomeMichezo

AZAM FC V IHEFU NI VITA YA KISASI KESHO AZAM COMPLEX

 GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhid...

NYOTA WANNE WA KIM POULSEN WAWEKWA KWENYE UANGALIZI MAALUMU
MASAU BWIRE: RUVU SHOOTING TUNA JICHO LA ZIADA, MANYAMA ANAJIELEWA
NEYMAR KUWAONGOZA BRAZIL COPA AMERICA

 GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo huo ni wa mzunguko wa pili utapigwa kesho, Machi 11. Mchezo wa kwanza uliochezwa Mbeya, ubao ulisoma Ihefu 0-2 Azam FC.

Lwandamina amesema kuwa anatambua utakuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja kutokana na vita ya nafasi pamoja na pointi ila anaamini kila kitu kitakuwa sawa.

"Wachezaji wapo sawa na wanatambua kwamba kwa sasa mzunguko wa pili ushindani ni mkubwa hivyo wataingia ndani ya uwanja kusaka ushindi ili kufikia malengo ambayo tumejiwekea," .

Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kwamba kikubwa ambacho wanakitazama ni kupata ushindi ndani ya uwanja.

"Tunahitaji ushindi kwenye mechi zetu ili kupata matokeo chanya, ushindani ni mkubwa nasi tunapambana ili kuweza kuwa kwenye ubora wetu," amesema.

Ihefu FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 16 imekusanya jumla ya pointi 20 inakutana na Azam FC ambayo ipo nafasi ya tatu na ina pointi 41. 

Kipa namba moja wa Azam FC ni Martin Kigonya huku yule wa Ihefu ni Deogratius Munish, wote ni maingizo mapya kwenye usajili wa dirisha dogo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC V IHEFU NI VITA YA KISASI KESHO AZAM COMPLEX
AZAM FC V IHEFU NI VITA YA KISASI KESHO AZAM COMPLEX
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLKcolKy94POhZ5Uj5VPJGD2gYNrvLVRewMFSH6N4IiYlHQmomwst25m3CbohgzMvUgtg6roV8bNJvChcyyvshzPwM75IxSb_djMaqz7UzUcO_bVes_NRM4ve3KNBJHp4MCmRyEHByvXZO/w640-h604/Kigonya+na+mwalimu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLKcolKy94POhZ5Uj5VPJGD2gYNrvLVRewMFSH6N4IiYlHQmomwst25m3CbohgzMvUgtg6roV8bNJvChcyyvshzPwM75IxSb_djMaqz7UzUcO_bVes_NRM4ve3KNBJHp4MCmRyEHByvXZO/s72-w640-c-h604/Kigonya+na+mwalimu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-v-ihefu-ni-vita-ya-kisasi-kesho.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-v-ihefu-ni-vita-ya-kisasi-kesho.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy