SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA
HomeMichezo

SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Machi 10 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons kwenye ...


 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Machi 10 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Tanzania Prisons 1-0 Simba.

Leo itakuwa ni mchezo wa kisasi kwa Simba kusaka ushindi huku Prisons wao wakihitaji kulinda rekodi ya kutofungwa na Simba msimu huu wa 2020/21.

Gomes ameweka wazi kwamba maandalizi yamekamilka na anatambua mchezo utakuwa mgumu ila anahitaji pointi tatu.

"Maandalizi ya kikosi yapo sawa na kila mmoja yupo sawa kwa ajili ya kuona kikosi kinapata pointi tatu hivyo mashabiki wajitokeze kutupa sapoti," .

Kwa upande wa Salum Mayanga, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa wanatambua kutakuwa na ushindani mkubwa ila wanahitaji pointi tatu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA
SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyT1IIvqUooMZBtiQGADbmqexGu3Olk9Qeg1XNio04jlK885VVMIJn6JPC2BLtop0nVsqwTnv0as4RE2n0XulWr-bn_S2CTmyMHgYPy5ZhbuDHHMWeYfTqlT4jVRyPM-9mafaK5f0V9aR1/w640-h526/Mugalu+tizi.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyT1IIvqUooMZBtiQGADbmqexGu3Olk9Qeg1XNio04jlK885VVMIJn6JPC2BLtop0nVsqwTnv0as4RE2n0XulWr-bn_S2CTmyMHgYPy5ZhbuDHHMWeYfTqlT4jVRyPM-9mafaK5f0V9aR1/s72-w640-c-h526/Mugalu+tizi.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-kamili-gado-kuivaa-prisons-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-kamili-gado-kuivaa-prisons-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy