HAPA NDIPO AMBAPO YANGA INAKWAMA, WACHEZAJI WAKE PAMOJA NA MAKUNDI
HomeMichezo

HAPA NDIPO AMBAPO YANGA INAKWAMA, WACHEZAJI WAKE PAMOJA NA MAKUNDI

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa kinachoikwamisha Yanga ni namna ya kutafuta wachezaji, jambo ambalo li...

UFALME WA KUCHEKA NA NYAVU WA KAGERE WATIKISWA NA PRINCE DUBE
WACHEZAJI SITA WA YANGA KUIKOSA JKT TANZANIA LEO
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa kinachoikwamisha Yanga ni namna ya kutafuta wachezaji, jambo ambalo limekuwa likiifanya timu hiyo kuwa kwenye mwendo wa kusuasua.

Pia ameongeza kuwa huenda kuna makundi ndani ya Yanga jambo ambalo haliwekwi wazi jambo ambalo linatakiwa kufanyiwa kazi.

Mwalimu amesema :-"Moja ni kwamba sijui ambaye anafanya scout ni nani, leo ukiingia Yanga ukiuliza nani aliwaleta hawa, watu watatafutana pale kwa sababu mambo sio mazuri wanajua kutuaminisha sana kwamba timu ni nzuri ila mwisho pale mambo yanapoharibika hakuna anayeweza kutoa maelezo nani alimleta huyu.

"Kwa mfano msimu uliopita alikuja mchezaji mmoja hivi ambaye  ni Yikpe, (Gnamien) ambaye kwa kumuangilia sio kariba wa Yanga ni aina ya Veteran fulani hivi.

"Tulipojaribu kufuatilia quality (ubora) ya Yikpe watu walikuwa wanacomplain, (lalamika) na nilijua kwamba hatakaa, alikuja Molinga, (David) kwa shangwe nyingi na mwisho wa siku hakudumu.

"Ukiwatazama wachezaji waliopo kwa sasa ni nani ambaye anaoparate,(simamia) ukija kumtazam Saido Ntibanzokiza, huyu naye umri umekwenda kidogo na majeraha, Carlinhos, (Carlos) simuoni kama mchezaji anayeweza kucheza Physical footbal kitu ambacho hakiwezekani kwa ligi ya Tanzania ni ngumu, Yacouba anaumwa, Michael Sarpng huyu naye anakimbiakimbia tu, mechi zaidi ya 21 mabao manne.

"Hivyo cha kuanza hapo ni kujua nani ambaye anawaleta hawa wachezaji kisha mwalimu akahukumiwa lakini wakishakuja nini kinatokea ndani ya Klabu ya Yanga, inawezekana kuna makundi, ila tunachojua ni kwamba mwalimu huyu amekuja kisha akaondoka," alisema Kashasha.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HAPA NDIPO AMBAPO YANGA INAKWAMA, WACHEZAJI WAKE PAMOJA NA MAKUNDI
HAPA NDIPO AMBAPO YANGA INAKWAMA, WACHEZAJI WAKE PAMOJA NA MAKUNDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvS-ykm-Zy97EbO_uTmxIVJFNKAbQ6eRzWgx_oxSm9jn7w7Y3CVQMgnETP3WGt2-v7eyiawQI-mcHyJz_Pu76U2WrKQP4H328hhVhtk1Qvi25IIvFHWu5AOsmCMALwUcqdtRpu_MVYtzvb/w640-h530/Kikosi+cha+Yanga+2020.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvS-ykm-Zy97EbO_uTmxIVJFNKAbQ6eRzWgx_oxSm9jn7w7Y3CVQMgnETP3WGt2-v7eyiawQI-mcHyJz_Pu76U2WrKQP4H328hhVhtk1Qvi25IIvFHWu5AOsmCMALwUcqdtRpu_MVYtzvb/s72-w640-c-h530/Kikosi+cha+Yanga+2020.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hapa-ndipo-ambapo-yanga-inakwama.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hapa-ndipo-ambapo-yanga-inakwama.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy