BAADA ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuna shida kidogo k...
BAADA ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuna shida kidogo kwenye eneo la ushambuliaji huku akimtaja Mugalu, (Chris) kuwa alishindwa kufunga mabao jambo ambalo linawaumiza.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kuhusu kiwango cha wachezaji wapya ameridhika.Kuhusu pengo la Luis Miquissone na Chama Clatous ambao wamesepa amesema kuwa kwa sasa watasema hasa kwa kuwa wametoka kupoteza.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS