SHOMARI Kapombe, beki wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa waliweza kuruhusu mabao ya kufungwa kutokana makosa ambayo waliyafanya na wa...
SHOMARI Kapombe, beki wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa waliweza kuruhusu mabao ya kufungwa kutokana makosa ambayo waliyafanya na wao pia waliweza kufunga kutokana na makosa ambayo waliyafanya wapinzani wao.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Jana Stars iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar ni katika kipindi cha kwanza ambapo Stars walianza kufunga mabao mawili yote yalirudishwa mpaka walipokuja kupata bao la ushindi kipindi cha pili.
Kuhusu kutokuwepo mashabiki kutokana na janga la Corona Kapombe ameomba Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuweza kushughulikia hilo suala kwa kuwa mashindano ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia ni makubwa na ni muhimu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS