MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII
HomeMichezo

MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII

  Baada ya kukaa miezi 3 bila soka la vilabu barani Ulaya, hatimaye Agosti 13,2021 imefika na viwanja vyote kuanza kurindima kwa takriban...

ISHU YA NTIBANZOKIZA KUSAINI KCCA UKWELI HUU HAPA
NYOTA WAWILI TAIFA STARS WAUMIA, NCHIMBI NA BRYSON
KISINDA AWA MUHIMILI WA YANGA KWA MIPANGO NDANI YA UWANJA

 


Baada ya kukaa miezi 3 bila soka la vilabu barani Ulaya, hatimaye Agosti 13,2021 imefika na viwanja vyote kuanza kurindima kwa takribani miezi 8 ya msimu mpya wa soka 2021/22. 

 

VAR, vyenga vya kila aina, vita vya maneno ndani na nje ya uwanja – zote ni burudani za soka. Hakika, msimu mpya, vibe jipya! Tunaanza msimu mpya kwa namna hii;

 

 Ijumaa hii, EPL itaukata utepe wa msimu mpya wa Ligi Soka nchini Uingereza kwa mchezo wa Brentford FC dhidi ya Arsenal. Wageni wa EPL – Brentford wataitupa karata yao ya kwanza dhidi ya vijana wa Mikel Arteta ambao hawatokua na michezo ya mashindano ya Ulaya baada ya kufanya vibaya msimu uliopita. Hii ni fursa ya timu hizi kuanza msimu huu kwa alama 3 muhimu kuelekea michezo 38 ya kukamilisha msimu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.95 kwa Arsenal.

Jumamosi kutachezwa mchezo wa mahasimu wa soka kwenye historia ya soka la Uingereza. Hapa ni Manchester United vs Leeds United ndani ya Old Trafford! Msimu uliopita, United alianza kwa kupoteza mchezo akiwa nyumbani. Lakini Leeds United alikula 6-2 alipocheza dhidi ya United pale Old Trafford, msimu huu itakuaje? Timu zote zimefanya usajili wa kutosha lakini dakika 90 zitaamua nyota ya nani itang’ara mbele ya mashabiki. Meridianbet tumekuwekea Odds Bora ya 1.54 kwa The Red Devils.

 

Pale Goodison Park, Rafael Benitez ataitupa karata yake ya kwanza akiwa kocha wa Everton kwenye mchezo dhidi ya Southampton. Benitez anakibarua cha ziada msimu huu, kuipata Imani ya mashabiki wa Everton ambao wengi wao wamepinga uamuzi wa klabu hiyo kumpatia mikoba ya Carlo Ancelotti. Ataweza kuwaonesha kuwa yeye ni mtu sahihi wa kuiongoza Everton licha ya kuwa aliwahi kuwa kocha wa Liverpool ambao ni mahasimu wakubwa wa The Toffees? Ifuate Odds ya 2.00 kwa Everton ukiwa na Meridianbet.

 

Macho ya wadau wengi wa soka la LaLiga na mashabiki wa FC Barcelona yatakua pale Nou Camp Jumapili hii. Barca watawaalika Real Sociedad kwenye mchezo wao kwanza bila Lionel Messi. Baada ya miaka 21, Messi ameondoka Nou Camp na sasa anapatikana kule Paris akiwa na Neymar Jr na Kylian Mbappe ndani ya PSG. Safari ya Barca bila nyota wao na nyota wa dunia yatakuaje? Mdhamini shujaa wako kupitia Meridianbet kwa kuifuata Odds ya 1.80 kwa Barcelona.

 

Wiki itaanza kwa mchezo wa Elche vs Athetic Bilbao kunako LaLiga Sentander. Msimu uliopita, timu zote zilikuwa zikidemadema kuokoa nafasi zao kwenye msimamo wa Liga hiyo, msimu huu wataanzaje na pengine watamaliza vipi? Mchongo upo Meridianbet, Odds ya 2.15 kwa Bilbao ipo kwa ajili yako.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII
MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbFk2UGWBaudf1DYI7dLFPVw2bZzd3AfpNg97GPLM8KEy5aw0H0ylDWqjzW2C6TxqHd8FlGMIu6n9nsVAj8uqr7k9pSWXlRVwP_y4yXTdgGgQ6mePfrvhXQBRfecc7Wn_NFnGfBSqpy6GG/w640-h513/GETTY_Arsenal-v-Brentford-Friendly_SPO_GYI1248776283jpg-JS588515977-e1591813778133.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbFk2UGWBaudf1DYI7dLFPVw2bZzd3AfpNg97GPLM8KEy5aw0H0ylDWqjzW2C6TxqHd8FlGMIu6n9nsVAj8uqr7k9pSWXlRVwP_y4yXTdgGgQ6mePfrvhXQBRfecc7Wn_NFnGfBSqpy6GG/s72-w640-c-h513/GETTY_Arsenal-v-Brentford-Friendly_SPO_GYI1248776283jpg-JS588515977-e1591813778133.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/msimu-mpya-vibe-jipya-ndani-ya-epl-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/msimu-mpya-vibe-jipya-ndani-ya-epl-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy