SIMBA KUWASHUSHA AL AHLY BONGO
HomeMichezo

SIMBA KUWASHUSHA AL AHLY BONGO

  H II  ni ‘next level’ ndivyo  unavyoweza kusema  ambapo Uongozi wa  Simba, rasmi umethibitisha  kufanya mazungumzo na  mabingwa wa Afrik...

AFCON:Kundi B limemenyana vikali
Algeria yainyuka Afrika Kusini 3-1
MBEYA CITY FC YAWASHA MOTO KIRUMBA, YAICHAPA 1-0 KAGERA SUGAR

 HII ni ‘next level’ ndivyo unavyoweza kusema ambapo Uongozi wa Simba, rasmi umethibitisha kufanya mazungumzo na mabingwa wa Afrika, Klabu ya Al Ahly kwa ajili ya kucheza nao katika tamasha la Simba Day Agosti 19, mwaka huu.

 

Pamoja na burudani ya soka tamasha hilo pia hutumika kuwatambulisha rasmi wachezaji watakaotumiwa na timu hiyo kwa msimu ujao wa 2021/22.

 

Taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza kuwa tayari Al Ahly, imepokea mwaliko wa kuja Tanzania kwa ajili ya kushiriki tamasha hilo ambapo.


Lengo kubwa la kufaya hivyo ni kuiandaa timu kwa ajili ya michezo ya kimataifa msimu ujao na kumuaga rasmi aliyekuwa kiungo mshambuliaji wao, Luis Miquissone aliyejiunga na wababe hao wa Misri.

 

Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu alisema: “Kwa sasa hatuwezi kuweka wazi kuhusiana na uratibu wa tukio letu la Tamasha la Simba kwa kuwa bado tunaendelea na maandalizi, tutaweka wazi kila kitu pale muda utakapokuwa tayari.

 

“Lakini naloweza kukuthibitishia ni kuwa tutaalika timu moja kubwa kutoka nje ya nchi, tupo kwenye mazungumzo na timu kubwa hapa Afrika kama Al Ahly, Zamalek, Horoya ili kuangalia uwezekano wa wao kupata nafasi ya kuja kwenye tamasha hilo.”


Watani zao wa jadi Yanga walicheza na Zanaco kutoka Zambia na ubao wa Uwanja wa Mkapa, Agosti 29 ulisoma Yanga 1-2 Zanaco.


Azam FC wao msimu huu walibainisha kwamba hawatafanya tamasha hilo kutokana na ratiba kuwa ngumu kwao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUWASHUSHA AL AHLY BONGO
SIMBA KUWASHUSHA AL AHLY BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYR54MVuZY3qqRkOrJ5m60SqG_teVa0eznOsbO2gJgo6YRULCnUyg2zUA_52PZHL7RKkuKvWSHzsLqEwa8k_UqBk9DsZZ14kBjbq-QSAiV9qLbdQ-Q1nZvbavHty5UvbNDZ257OeE_MdmQ/w640-h360/Mzamiru+Yassin+v+Al+Ahly.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYR54MVuZY3qqRkOrJ5m60SqG_teVa0eznOsbO2gJgo6YRULCnUyg2zUA_52PZHL7RKkuKvWSHzsLqEwa8k_UqBk9DsZZ14kBjbq-QSAiV9qLbdQ-Q1nZvbavHty5UvbNDZ257OeE_MdmQ/s72-w640-c-h360/Mzamiru+Yassin+v+Al+Ahly.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-kuwashusha-al-ahly-bongo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-kuwashusha-al-ahly-bongo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy