TWIGA STARS WAREJEA TANZANIA NA TAJI LA COSAFA
HomeMichezo

TWIGA STARS WAREJEA TANZANIA NA TAJI LA COSAFA

MABINGWA wa taji la COSAFA, Timu ya Taifa ya Wanawake,'Twiga Stars' leo wamerejea Tanzania wakitokea nchini Afrika Kusini ambapo w...


MABINGWA wa taji la COSAFA, Timu ya Taifa ya Wanawake,'Twiga Stars' leo wamerejea Tanzania wakitokea nchini Afrika Kusini ambapo walikuwa kwenye mashindano hayo.

Twiga Stars ilikuwa nchini Afrika Kusini ikiwa ni wageni waalikwa na wamefanya kweli katika mwaliko huo kwa kusepa na taji hilo.


 Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julus Nyerere (JNIA) akiwa na msafara wa kikosi cha wachezaji wakitokea Afrika Kusini walikotwaa ubingwa wa COSAFA Wanawake 2021 amesema kuwa yalikuwa ni malengo kufanya vizuri.

"Tumeweza kufanya kile ambacho tulikuwa tunahitaji kufanya kwa kuwa tulikwenda kushiriki na malengo ilikuwa ni kuweza kufanya vizuri jambo ambalo limetokea.

"Tulikuwa tunajua kwamba ushindani utakuwa mkubwa na imekuwa hivyo, tumejifunza na tumepata kitu kutoka kwenye mashindano hayo," amesema.

Pia kabla ya kurejea kutoka Afrika Kusini wachezaji na benchi la Ufundi la Timu ya Taifa ya Wanawake waliweza kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Jenerali Gaudence Milanzi baada ya kumtembelea.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TWIGA STARS WAREJEA TANZANIA NA TAJI LA COSAFA
TWIGA STARS WAREJEA TANZANIA NA TAJI LA COSAFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg-zOd-OV2zQArqp2n-Y3rbR5LL-mw68OJ5gb9fO5V7A8ckuQUQkeBvNZbqdLCIT5wop0Y7yLR8wFY1OWgsUPonkRA5YGPyit1s27Z3U04BjIqEbVzO-DAmHhb5kB6f6xqkg3OyFquSMwywkmkQOGNvOW38zKZnobeBIojo6SAb9RkB2zq3f7XL8VFgpg=w640-h426
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg-zOd-OV2zQArqp2n-Y3rbR5LL-mw68OJ5gb9fO5V7A8ckuQUQkeBvNZbqdLCIT5wop0Y7yLR8wFY1OWgsUPonkRA5YGPyit1s27Z3U04BjIqEbVzO-DAmHhb5kB6f6xqkg3OyFquSMwywkmkQOGNvOW38zKZnobeBIojo6SAb9RkB2zq3f7XL8VFgpg=s72-w640-c-h426
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/twiga-stars-warejea-tanzania-na-taji-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/twiga-stars-warejea-tanzania-na-taji-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy