MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Mamesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa leo wa kirafiki kwak...
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Mamesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa leo wa kirafiki kwake haina tatizo na imempa mwanga wa kujua uwezo wa vijana wake.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kwenye Uwanja wa Boko Veteran kulikuwa na mchezo wa kirafiki leo Oktoba 11 kwa ajili ya kujipima nguvu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS