MRITHI wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, Ezekiel Kimwaga amesema kuwa sio mara yake ya kwanza kufanya kazi ndani ya Simba hivyo anaamin...
MRITHI wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, Ezekiel Kimwaga amesema kuwa sio mara yake ya kwanza kufanya kazi ndani ya Simba hivyo anaamini kwamba atafanya kazi vizuri kwa muda ambao ameteuliwa kukaimu nafasi hiyo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS