BALOZI wa Ndondo Cup, Mkojani amesema kuwa anawasiwasi kutokana na dau la mshindi wa Ndondo Cup kuwa milioni 20 nazi zinaweza kuisha kwenye ...
BALOZI wa Ndondo Cup, Mkojani amesema kuwa anawasiwasi kutokana na dau la mshindi wa Ndondo Cup kuwa milioni 20 nazi zinaweza kuisha kwenye magenge huku akiweka wazi kwamba ana mitambo maalumu ambayo itazuia mambo hayo. Kuelekea kwenye Dabi ya Simba na Yanga, Mei 8 amesema kuwa yeye rangi yake nyekundu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS