MIKEL ARTETA: WACHEZAJI WALICHEZA CHINI, HATUKUWA NA NAMNA
HomeMichezo

MIKEL ARTETA: WACHEZAJI WALICHEZA CHINI, HATUKUWA NA NAMNA

KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa hawajafurahishwa na matokeo ambayo wameyapata usiku wa kuamkia leo kwenye mchezo wa nusu ...


KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa hawajafurahishwa na matokeo ambayo wameyapata usiku wa kuamkia leo kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili ya Europa League baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana na Villarreal.

Baada ya ubao wa Uwanja wa Emirates kusoma Arsenal 0-0 Villarreal inawafanya Arsenal kuishia katika hatua ya nusu fainali kwa sababu mchezo wa kwanza walipokuwa ugenini ubao ulisoma Villarreal 2-1 Arsenal.

Arteta amesema kuwa walipambana kusaka matokeo ila haikuwa hivyo kwenye mchezo huo jambo ambalo limewafanya washindwe kutimiza malengo yao.

"Tulikuwa tunahitaji kufanya jambo kwa ajili ya mchezo wetu ili kufika hatua ya fainali ila imeshindikana, wachezaji walikuwa chini, ilikuwa kazi kubwa kwangu.

"Bahati mbaya tumeshindwa, tulikuwa na nafasi za kushinda, kuna nafasi mbili ambazo tumetengeneza ila hatukuweza kufunga, basi hamna namna kwa kuwa hatujapata mabao," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MIKEL ARTETA: WACHEZAJI WALICHEZA CHINI, HATUKUWA NA NAMNA
MIKEL ARTETA: WACHEZAJI WALICHEZA CHINI, HATUKUWA NA NAMNA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhS74MAmesvlF-4beRrwfRjWNBn4DX6IBomSQqK1GVvQsp0i-nGaq07J6d29XYVdbg4L9ew9RjK8Tae7_5ZMHOkZoTppNOFKVhZTTiwMaUgmMvRnZUuDloJOw2WX9NBazEAg0rVDgv9vsOc/w640-h462/Arteta+Var.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhS74MAmesvlF-4beRrwfRjWNBn4DX6IBomSQqK1GVvQsp0i-nGaq07J6d29XYVdbg4L9ew9RjK8Tae7_5ZMHOkZoTppNOFKVhZTTiwMaUgmMvRnZUuDloJOw2WX9NBazEAg0rVDgv9vsOc/s72-w640-c-h462/Arteta+Var.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mikel-arteta-wachezaji-walicheza-chini.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mikel-arteta-wachezaji-walicheza-chini.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy