MABEKI HAWA WAWILI SIMBA WAZAWA NI WAZEE WA KAZI,DAKIKA KIBAO
HomeMichezo

MABEKI HAWA WAWILI SIMBA WAZAWA NI WAZEE WA KAZI,DAKIKA KIBAO

  MABEKI wazawa wawili ndani ya kikosi cha  Simba, Shomari Kapombe   ambaye ni ubavu wa kulia na Mohamed Hussein, 'Tshabalala'   a...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
CHEKI MECHI ZA SIMBA NDANI YA APRILI KWENYE LIGI KUU BARA
RATIBA YA MECHI ZA YANGA LIGI KUU BARA APRILI

 MABEKI wazawa wawili ndani ya kikosi cha Simba, Shomari Kapombe ambaye ni ubavu wa kulia na Mohamed Hussein, 'Tshabalala' ambaye ni nahodha msaidizi wamekimbiza kwa kuyeyusha dakika nyingi ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21, jambo lililomkosha Kocha Mkuu, Didier Gomes.

 

Mbali na kukimbiza katika kuyeyusha dakika bado wazawa hao walikuwa ni mitambo ya kutengeneza mabao kwa kuwa walihusika katika jumla ya mabao 11 kati ya 78 ambapo Kapombe alitoa pasi sita za mabao na Tshabalala alifunga mabao mawili na pasi mbili za mabao.

 

Tshabalala alitumia jumla ya dakika 2,732 katika mechi 31 ambazo alicheza ndani ya ligi huku mshikaji wake Kapombe yeye akitumia jumla ya dakika 2,714 alicheza mechi 31.

 

Nyota hao wanatarajiwa kuendelelea pale walipoishia kwa msimu mpya wa 2021/22 kwa sababu bado wapo kwenye kikosi hicho kilichoweka kambi kwa muda nchini Morocco na sasa kimesharejea Dar.

 

Gomes aliliambia Championi Jumatatu kuwa anajivunia uwepo wa wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa jambo ambalo linamfanya aamini kwamba watafanya vizuri kwenye mashindano ambayo watashiriki.



Simba inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo msimu uliopita ilifanikiwa kutinga mpaka hatua ya robo fainali.


Ni nyota wake wawili itawakosa ambao ni Clatous Chama raia wa Zambia huyu yupo zake RS Berkane pamoja Luis Miquissone huyu yupo zake Al Ahly ya Misri na wote ni viungo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MABEKI HAWA WAWILI SIMBA WAZAWA NI WAZEE WA KAZI,DAKIKA KIBAO
MABEKI HAWA WAWILI SIMBA WAZAWA NI WAZEE WA KAZI,DAKIKA KIBAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_MpKLK905msICodzYB7Hmcs-XcJFpfhLIdsFwNO2G4cCqc9mwY03YRZzGSzOZ0uAPhOFV8PFhl-Cl7ZMmZ6tJSDBdZG7XsOPPid18tDSVXdNwxFU0NHvpNV-luoibzFPwlj9xLboh0Ss2/w640-h360/Tshaba+v+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_MpKLK905msICodzYB7Hmcs-XcJFpfhLIdsFwNO2G4cCqc9mwY03YRZzGSzOZ0uAPhOFV8PFhl-Cl7ZMmZ6tJSDBdZG7XsOPPid18tDSVXdNwxFU0NHvpNV-luoibzFPwlj9xLboh0Ss2/s72-w640-c-h360/Tshaba+v+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mabeki-hawa-wawili-simba-wazawa-ni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mabeki-hawa-wawili-simba-wazawa-ni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy