MAKOCHA HAWA KWENYE RADA ZA KAGERA SUGAR, YUPO WA YANGA
HomeMichezo

MAKOCHA HAWA KWENYE RADA ZA KAGERA SUGAR, YUPO WA YANGA

  FRANCIS Baraza Kocha Mkuu wa Biashara United anatajwa kuingia kwenye rada za Kagera Sugar kuziba nafasi ya Mecky Maxime ambaye amefutwa...

 


FRANCIS Baraza Kocha Mkuu wa Biashara United anatajwa kuingia kwenye rada za Kagera Sugar kuziba nafasi ya Mecky Maxime ambaye amefutwa kazi kutokana na mwendo mbovu wa timu.

Mbali na Baraza pia Ettiene Ndayiragije aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars naye anatajwa kuwa katika rada za mabosi wa Kagera Sugar. 

Pia Ndayiragije alikuwa anahusishwa kujiunga na Yanga kubeba mikoba ya Cedric Kaze ambaye alifungashiwa virago Machi 7 baada ya ubao kusoma polisi Tanzania 1-1 Yanga.

Jina la Ndayiragije lilikuwa linapewa chapuo kuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kwa sasa kipo mikononi mwa Kaimu Kocha, Juma Mwambusi.

Katibu Mkuu wa Kagera Sugar, Ally Masoud amesema kuwa mchakato wa kumpata Kocha mpya unaendelea.

"Bado mchakato wa kumtafuta kocha mpya unaendelea hivyo mambo yakiwa sawa hivi karibuni kila kitu kitakuwa sawa mashabiki wasiwe na mashaka,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAKOCHA HAWA KWENYE RADA ZA KAGERA SUGAR, YUPO WA YANGA
MAKOCHA HAWA KWENYE RADA ZA KAGERA SUGAR, YUPO WA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS5dI4HfIbNLN0eYzsVeo_AIOmncFz8b9qS9MwWY4QzMjP0OzA-mxeFUvp17mOSqzej-Dt31tuvlbNqHMEEb0gNQyeCVYxzc2TMe0ANvGwwLxbiD5akD7F15bl6oHd6UMwbo7w10Ds8Vd_/w640-h640/IMG_20210314_095232_546.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS5dI4HfIbNLN0eYzsVeo_AIOmncFz8b9qS9MwWY4QzMjP0OzA-mxeFUvp17mOSqzej-Dt31tuvlbNqHMEEb0gNQyeCVYxzc2TMe0ANvGwwLxbiD5akD7F15bl6oHd6UMwbo7w10Ds8Vd_/s72-w640-c-h640/IMG_20210314_095232_546.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makocha-hawa-kwenye-rada-za-kagera.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makocha-hawa-kwenye-rada-za-kagera.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy