BRUNO AKOMALIA ISHU YA KUPIGA PENALTI
HomeMichezo

BRUNO AKOMALIA ISHU YA KUPIGA PENALTI

 LICHA ya kukosa penalti kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati timu ya Manchester United ikipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Aston Villa ...

KOCHA BIASHARA UNITED KUANZA KUONGEZA MAKALI YA WASHAMBULIAJI
UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI MAJANGA MATUPU AFCON
USHINDI WA MABAO 14 WA TIMU YA TAIFA JAPAN WAWEKA REKODI

 LICHA ya kukosa penalti kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati timu ya Manchester United ikipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Aston Villa nyota wa timu hiyo Bruno Fernandes amesema kuwa ataendelea kupiga penalti kama kawaida.

Bruno penalti yake ilipaa juu ilikuwa dakika ya 90 na kufanya United wapoteze pointi tatu jumlajumla kwenye mchezo wao huo uliochezwa Uwanja wa Old trafford.

Nyota huyo amewaomba msamaha mashabiki kwa kusema kuwa imani yake atapata nafasi ya kufunga tena kwa sababu kukosa ni jambo la kawaida.

"Hakuna mtu ambaye ameumia zaidi yangu kutokana na kukosa penalti hii na pia timu yangu kuchapwa, nimekuwa nikiamini kuwa ni jukumu langu na nimekuwa nikifanya kwa ukamilifu.

"Leo nimeshindwa, lakini ninataka kukuhakikishia kuwa nitaendelea kupiga penalti mashabiki wategemee hilo siku zijazo," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BRUNO AKOMALIA ISHU YA KUPIGA PENALTI
BRUNO AKOMALIA ISHU YA KUPIGA PENALTI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRzsQsuzWKpQOqWKsqZEIuFI0m8KxGq_04jhlCRTFag8kgz5eND746sAVmckyo24zBcLXi-nBhOUTKZm7kzo22bVdAFRT_Bm1MxzM6UAsqefqQHsvL0BPOFPvtRGIp1aCtQp7nEKvU-wUO/w640-h360/Bruno+huzuni.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRzsQsuzWKpQOqWKsqZEIuFI0m8KxGq_04jhlCRTFag8kgz5eND746sAVmckyo24zBcLXi-nBhOUTKZm7kzo22bVdAFRT_Bm1MxzM6UAsqefqQHsvL0BPOFPvtRGIp1aCtQp7nEKvU-wUO/s72-w640-c-h360/Bruno+huzuni.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/bruno-akomalia-ishu-ya-kupiga-penalti.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/bruno-akomalia-ishu-ya-kupiga-penalti.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy