UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI MAJANGA MATUPU AFCON
HomeMichezo

UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI MAJANGA MATUPU AFCON

  UKANDA wa Afrika Mashariki mambo yamekuwa magumu Kwenye tiketi ya kufuzu kushiriki Michuano ya Mataifa ya Afrika, (Afcon) kwa timu nyin...

 


UKANDA wa Afrika Mashariki mambo yamekuwa magumu Kwenye tiketi ya kufuzu kushiriki Michuano ya Mataifa ya Afrika, (Afcon) kwa timu nyingi kuangukia pua.


Sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 dhidi ya Cameroon inaifanya timu ya Taifa ya Rwanda kuishia hatua ya makundi.


Ni Cameroon na Cape Verde wamekata tiketi ya kushiriki Afcon nchini Cameroon baada ya kuwa nafasi mbili za juu ambapo mwenyeji Cameroon ana pointi 11 huku Cape Verde akiwa na pointi 10.


Rwanda ipo nafasi ya 3 na pointi zao ni 6 huku nafasi ya nne ikiwa mikononi mwa Msumbiji wenye pointi 4 baada ya kucheza jumla ya mechi 6.


Tanzania pia imeishia hatua ya makundi na pointi zake ni 7 katika kundi J ipo nafasi ya tatu ambapo ni Tunisia wenye pointi 16 na Equatorial Guinea wenye pointi 9 wamepenya mpaka Cameroon. 


Burundi katika kundi E wapo nafasi ya tatu na pointi zao ni 5 huku Morocco yenye pointi 14 na Mauritania wenye pointi 9 wakitusua mpaka Cameroon. 


Kenya katika kundi G ikiwa nafasi ya tatu na pointi zao ni 7 inafuatiwa na Togo yenye pointi 2, huku Misri yenye pointi 12 na Comoros yenye pointi 9 zikiibukia Cameroon. 


Uganda katika kundi S wameishia nafasi ya 3 na pointi 8, Afrika Kusini ina pointi 3 nafasi ya nne, huku Burkina Faso yenye pointi 12 na Malawi yenye pointi 10 zimepenya .


Burundi nafasi ya tatu na pointi 5 katika kundi E na Afrika ya kati ipo nafasi ya nne na pointi 4, Morocco yenye pointi 14 na Mauritania yenye pointi 9 zimepenya.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI MAJANGA MATUPU AFCON
UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI MAJANGA MATUPU AFCON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj568kU9E55vyvk4EUXN_uXph_SkTu3Obaa-BTm9S_X90_zLv9D_I44ENfwbIs30VnZZmDA1bUkgeUgjseSdfvsODWs_Xdgczp8CGyPLJZiBjWFbA2ivVmbeaWABOxfSX1Gx0FWL_uAKH37/w640-h640/IMG_20210331_075343_476.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj568kU9E55vyvk4EUXN_uXph_SkTu3Obaa-BTm9S_X90_zLv9D_I44ENfwbIs30VnZZmDA1bUkgeUgjseSdfvsODWs_Xdgczp8CGyPLJZiBjWFbA2ivVmbeaWABOxfSX1Gx0FWL_uAKH37/s72-w640-c-h640/IMG_20210331_075343_476.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ukanda-wa-afrika-mashariki-majanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ukanda-wa-afrika-mashariki-majanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy