YANGA: MASHABIKI TAMBENI,MSIWE WANYONGE
HomeMichezo

YANGA: MASHABIKI TAMBENI,MSIWE WANYONGE

  Anaandika Antonio Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga,  Mwanachama,mpenzi na shabiki wa Yanga kwanini ukajikosesha amani kwa timu kutok...

 


Anaandika Antonio Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, 

Mwanachama,mpenzi na shabiki wa Yanga kwanini ukajikosesha amani kwa timu kutoka sare na kuaminishwa Kuwa timu haitopata matokeo na wewe unaamini hilo.


Kumbuka mpaka sasa tuko kileleni (namba moja) kwenye msimamo wa ligi na pia tukiwa na rekodi sahihi ya kutopoteza Mchezo hata mmoja.


Lazima tukubaliane na matokeo ya Mpira na sio kulaumu sana kana kwamba tuko nafasi ya 8 au tunaburuza mkia.


Tambeni Mtaani msitembee kinyonge,vimbeni mtaani na muendelee kuipa hamasa timu yetu Insha Allah kila kitu kitaenda Sawa.


Kisha tukutane Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya jumatano kwenye Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar saa 1 Kamili usiku Tujitokeze kwa wingi bila kukosa.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: MASHABIKI TAMBENI,MSIWE WANYONGE
YANGA: MASHABIKI TAMBENI,MSIWE WANYONGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPyLZEAk-pR4rT-g7r8UhxG6vM86TAorHyHD4DEBnd8a-7YzbTeYRS9clyhTRHC39_D0qTvTo0ItsCqnh62cgt0eNegEC9M4IjG6IvObgAmOmA280E7e9cz_yUfYFX9ryAzewI_3CN7LSv/w640-h420/IMG_20210215_121135_302.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPyLZEAk-pR4rT-g7r8UhxG6vM86TAorHyHD4DEBnd8a-7YzbTeYRS9clyhTRHC39_D0qTvTo0ItsCqnh62cgt0eNegEC9M4IjG6IvObgAmOmA280E7e9cz_yUfYFX9ryAzewI_3CN7LSv/s72-w640-c-h420/IMG_20210215_121135_302.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/yanga-mashabiki-tambenimsiwe-wanyonge.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/yanga-mashabiki-tambenimsiwe-wanyonge.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy