Chadema yajiengua UKAWA>>> Angalia yaliyojiri
HomeHabariKitaifa

Chadema yajiengua UKAWA>>> Angalia yaliyojiri

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina dalili zote za kujiengua kutoka kwenye umoja wa vyam...




Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina dalili zote za kujiengua kutoka kwenye umoja wa vyama vya siasa vinavyotokana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), gazeti la TAIFA IMARA linachambua.

CHADEMA imeonesha dalili tatu za wazi za kujiengua kutoka kwenye umoja huo kabla ya kufikia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatatu ya Oktoba 25, mwaka huu baada ya kuanza kufanya maandalizi ya uchaguzi huo kivyake na kutofautiana kimsimamo juu ya kujiunga kwa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Zuberi Kabwe.

Dalili ya kwanza ya CHADEMA kujiengua kwenye UKAWA ambao ni umoja shinikizi wa kikatiba ulioanzishwa Februari mwaka jana, kwa kuvihusisha vyama vyingine vya CUF, NLD na NCCR-Mageuzi ni kushindwa kuheshimu utaratibu mpya wa kuachiana na majimbo ya uchaguzi.

Hilo linatokana na ukweli kwamba, chama hicho imeanza mchakato wa kuorodhesha wanachama wake wasomi wanaotaka kuwania ubunge na udiwani kwenye maeneo mbalimbali bila kujali kwamba maeneo hayo kuna wabunge wa vyama vingine kama vitasimamisha mgombea kwenye maeneo hayo au la.

Chanzo: Taifa Imara

Share this:
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Chadema yajiengua UKAWA>>> Angalia yaliyojiri
Chadema yajiengua UKAWA>>> Angalia yaliyojiri
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4yikviWjosg-SrtuP0cM0mDdeO5gF96inWA-_SQD6IyBiRMil26TBFmfzQSgusqHG4zmPmg6TA0anOjnfhsdeRPxY09qF-0KdWI__Cch1ruIKnd3bBIs37Cp51SuvkZJc5sKMYa6peGer/s640/mbowee.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4yikviWjosg-SrtuP0cM0mDdeO5gF96inWA-_SQD6IyBiRMil26TBFmfzQSgusqHG4zmPmg6TA0anOjnfhsdeRPxY09qF-0KdWI__Cch1ruIKnd3bBIs37Cp51SuvkZJc5sKMYa6peGer/s72-c/mbowee.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/chadema-yajiengua-ukawa-angalia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/chadema-yajiengua-ukawa-angalia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy