KOCHA WA WAARABU WA MISRI AWAPIGA MKWARA SIMBA
HomeMichezo

KOCHA WA WAARABU WA MISRI AWAPIGA MKWARA SIMBA

PITSO Mosimane, Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri amesema kuwa kipigo chao cha bao 1-0 ambacho walikipata mbele ya Simba wamekifanyia kazi hi...

GUARDIOLA BAADA YA KUTOLEWA KWENYE FA AWACHANA WANAOIBEZA TIMU YAKE
KIBA ATUPIA BAO LA USHINDI RAMADHAN CUP
SHEFFIELD UNITED YASHUKA DARAJA IKIWA NA MECHI MKONONI ZA LIGI KUU ENGLAND

PITSO Mosimane, Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri amesema kuwa kipigo chao cha bao 1-0 ambacho walikipata mbele ya Simba wamekifanyia kazi hivyo wataingia Uwanja wa Mkapa kwa tahadhari.

Al Ahly msimu wa 2018 ilipokuja Bongo Februari 2019 ilikubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa hatua ya makundi.

Bao pekee la ushindi kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes lilipachikwa kimiani na Meddie Kagere ambaye bado yupo na kikosi hicho ambacho kinatarajiwa kumenyana na Waarabu hao wa Misri.

 Kocha huyo ambaye aliwahi kufanya kazi na kiungo  wa Simba, Luis Miqiussone 2018 alipokuwa ndani ya Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ila alimtoa kwa mkopo kwa kile ambacho aliweka wazi kuwa kijana huyo kiwango ilikuwa bado sana.

Tayari Kikosi cha wachezaji 22 wa Al Ahly ya Misri wapo ndani ya Bongo walitua Februari 19, 2021 usiku kwa ajili ya maandalizi ya mwisho.

Kocha huyo amesema:"ipo wazi kwamba waliwahi kutufunga Uwanja wa Mkapa lakini yale makosa tumeyafanyia kazi hivyo tutaingia ndani ya uwanja kwa juhudi za kusaka ushindi.

"Kila kitu kipo sawa na maandalizi yapo vizuri kikubwa ambacho tunahitaji ni ushindi ndani ya uwanja,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA WA WAARABU WA MISRI AWAPIGA MKWARA SIMBA
KOCHA WA WAARABU WA MISRI AWAPIGA MKWARA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgii5C50zDcOLNLwa4fqtBB_pekGvMTlIGGfy8WWA2IPoEjAbcDHd8cwDmP1vquUkxdHFq261eY9ZREDUIy_nJAX5NtkxQnD7dDFM40yeeQycOBBp5Afp8RJ6cEb_ERPGJRz646H-bNa2Y4/w640-h360/Pitso+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgii5C50zDcOLNLwa4fqtBB_pekGvMTlIGGfy8WWA2IPoEjAbcDHd8cwDmP1vquUkxdHFq261eY9ZREDUIy_nJAX5NtkxQnD7dDFM40yeeQycOBBp5Afp8RJ6cEb_ERPGJRz646H-bNa2Y4/s72-w640-c-h360/Pitso+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-wa-waarabu-wa-misri-awapiga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-wa-waarabu-wa-misri-awapiga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy