NAMUNGO KAMILI KUMALIZANA NA WAANGOLA LEO KIMATAIFA
HomeMichezo

NAMUNGO KAMILI KUMALIZANA NA WAANGOLA LEO KIMATAIFA

 KIKOSI cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco leo Februari 21 kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Komb...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
KOCHA BIASHARA UNITED KUIBUKIA KAGERA SUGAR
PRINCE DUBE NJE YA UWANJA WIKI MBILI

 KIKOSI cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco leo Februari 21 kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora dhidi ya 1 de Agosto, ya Angola.

Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Azam Complex na ule wa marudio pia utachezwa hapo kwa kuwa Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) liliamua iwe hivyo.

Awali mchezo wa kwanza ulipaswa kuchezwa Februari 14, nchini Angola ila wachezaji wa Namungo FC ambao ni watatu pamoja na kiongozi mmoja mamlaka  ya Angola ilieeleza kuwa wamekutwa na Virusi vya Corona hivyo waliamuru timu nzima ikae karantini.

Jambo hilo lilipingwa na viongozi pamoja na timu kiujumla mpaka pale Caf ilipoamua kuufuta mchezo huo kisha ikaamua kwamba mechi zote zichezwa Dar kwa kuwa uchunguzi wao umegundua kwamba hakukuwa na timu iliyokuwa na mpango wa kupanga matokeo.

Morroco ambaye kwenye safu ya ushambuliaji anamuamini Stephen Sey huku Bigirimana Blaise ambaye naye ni mtambo wa mabao atakosekana kwa kuwa anasumbuliwa na majeraha amesema kuwa watapambana kupata matokeo.

"Makosa ya mechi zilizopita tumefanyia kazi hivyo kwenye mchezo wetu wa kwanza hatua hii ya 32 bora tutapambana kupata matokeo chanya.

"Mashabiki wajitokeze kutupa sapoti tunaamini kwamba kila kitu kitakuwa sawa," amesema.

Mchezo wa leo ambao Namungo ni wageni utachezwa majira ya saa 11:00 jioni utagharamiwa na Waangola huku ule wa marudio ukitarajiwa kuchezwa Februari 25.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO KAMILI KUMALIZANA NA WAANGOLA LEO KIMATAIFA
NAMUNGO KAMILI KUMALIZANA NA WAANGOLA LEO KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1ID-QPMXQi9t2AGZKiIzrKRo9V0k5PmtJ7ZvnL4LRCTMshs5-4nfDCjlLCflyTmtVmj_XdlEWDG_ymTSuktMRiwB5Dy_sc7VuVgSZi89ka-iwLVoE7wp2vm2_iyYNXsJmxfxm-GY_XCtr/w586-h640/Sey+Chamazi.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1ID-QPMXQi9t2AGZKiIzrKRo9V0k5PmtJ7ZvnL4LRCTMshs5-4nfDCjlLCflyTmtVmj_XdlEWDG_ymTSuktMRiwB5Dy_sc7VuVgSZi89ka-iwLVoE7wp2vm2_iyYNXsJmxfxm-GY_XCtr/s72-w586-c-h640/Sey+Chamazi.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/namungo-kamili-kumalizana-na-waangola.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/namungo-kamili-kumalizana-na-waangola.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy