JEMBE: KIPA POLISI TANZANIA LAZIMA AHOJIWE
HomeMichezo

JEMBE: KIPA POLISI TANZANIA LAZIMA AHOJIWE

 BAADA ya kipa wa Polisi Tanzania Mohamed Yusuph, kuokota mabao mawili kwenye nyavu zake, Saleh Ally,'Jembe' mchambuzi wa masuala ...

VIDEO: SIMBA: TUTAPATA PENALTI 5 MBELE YA YANGA
VIDEO: KAGERA SUGAR WATAJA SABABU YA KUFUNGWA, MHILU YUPO TAYARI KUONDOKA
VIDEO: ONYANGO: KIPINDI CHA KWANZA TULIKUWA NYUMA, AWAOMBA MASHABIKI MBELE YA YANGA

 BAADA ya kipa wa Polisi Tanzania Mohamed Yusuph, kuokota mabao mawili kwenye nyavu zake, Saleh Ally,'Jembe' mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa kuna haja ya kipa huyo kuhojiwa na uongozi wa timu hiyo.

Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Malale Hamsini ilikubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ushirika Moshi.

Mabao hayo kwenye mchezo wa ligi uliochezwa, Moshi Aprili 18 yalifungwa na mchezaji mmoja ambaye ni Jeremia Kisubi.

Ilikuwa ni dakika ya 16 Kisubi akiwa ndani ya 18 alimtungua kwa kichwa huru Yusuph baada ya kupokea pasi ndefu kutoka kwa Salum Kimenya.

Bao la pili ilikuwa dakika ya 80 kwa mfungaji yuleyule Kisubi kumtungua tena kipa huyo kwa kichwa akiwa ndani ya 18 akitumia pasi ya Ezekia Mwashilindi ambaye naye alipiga pasi hiyo kupitia mpira uliokufa akiwa nje ya 18.

Ni Idd Moby wa Polisi Tanzania ambaye alipachika bao la kufutia machozi ilikuwa dakika ya 34 naye pia ilikuwa kwa kichwa akiwa ndani ya 18 kwa pasi ya Daruesh Saliboko.

Matokeo hayo yameifanya Polisi Tanzania kubaki na pointi 34 ikiwa nafasi ya 7 huku Prisons ikifikisha jumla ya pointi 34 ipo nafasi ya 9.

Jembe amesema:"Angalia vizuri mabao mawili ya Prisons dhidi ya Polisi Tanzania yamefungwa na Jeremiah Juma Ally. Lakini Polisi wamhoji kidogo kipa wao, uzembe huu ni wa kiwango cha lami au kuna nini?," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JEMBE: KIPA POLISI TANZANIA LAZIMA AHOJIWE
JEMBE: KIPA POLISI TANZANIA LAZIMA AHOJIWE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnJFuJ0vgMtrQ_atRoatZrVaCy9OKYRch2_eB4XDJdG6e8ooGYIiJI7Q3AnCuVSivI9v68EOfXxF-sX5s5T3VAEuhfrK9UtQzNESbmqbpymBQTyQznf3EVP3h9fbIV8MWoHkWwCJ2OiNBG/w640-h406/Polisi+tena.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnJFuJ0vgMtrQ_atRoatZrVaCy9OKYRch2_eB4XDJdG6e8ooGYIiJI7Q3AnCuVSivI9v68EOfXxF-sX5s5T3VAEuhfrK9UtQzNESbmqbpymBQTyQznf3EVP3h9fbIV8MWoHkWwCJ2OiNBG/s72-w640-c-h406/Polisi+tena.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jembe-kipa-polisi-tanzania-lazima.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jembe-kipa-polisi-tanzania-lazima.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy