JIMMY Ukonde nyota mpya ambaye alikuwa kwenye majaribo ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba anaamini anaweza kuwepo kwenye kikosi h...
JIMMY Ukonde nyota mpya ambaye alikuwa kwenye majaribo ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba anaamini anaweza kuwepo kwenye kikosi hicho kwa msimu ujao.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kuhusu ushindani ndani ya Kagame 2021 amebainisha kuwa ulikuwa ni mkubwa huku akigoma kumtaja nyota wa mchezo walipocheza dhidi ya Express, jana Agosti 7, na kukubali kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 Uwanja wa Mkapa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS