CCM kutumia 4R za rais Samia katika uchaguzi serikali za mitaa :CPA Makala
HomeHabariTop Stories

CCM kutumia 4R za rais Samia katika uchaguzi serikali za mitaa :CPA Makala

KATIBU wa İtikadi Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)CPA Amoss Makalla amewaomba wanachama wa Chama hicho nchi nzima kufahamu kuwa uchaguzi ...

KATIBU wa İtikadi Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)CPA Amoss Makalla amewaomba wanachama wa Chama hicho nchi nzima kufahamu kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu utaongozwa na R4 za Rais Dk.Samia Suluhu Hassan na hasa kuheshimiana na kuvumiliana.

 

CPA Makala ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM huku akifafanua Chama hicho kinaahidi kufanya kampeni za kistaarabu na ameviomba vyama vingine vya siasa nchini kampeni zitakapoanza waende na R4 ,wajenge hoja.

 

“Tutofautiane tu kwa itikadi lakini tuna Tanzania moja, uchaguzi uiache Tanzania ikiwa moja ya amani na utulivu.CCM tunavyosema hivyo tunamaanisha kwa mambo yaliyofanywa na Dk.Samia Suluhu Hassan kila Mwana ccm akipewa nafasi ya kuongea ataongea mambo Mengi yaliyofanywa.

 

“Kwahiyo kwetu sisi matusi hayata kuwa sehemu yetu ,kwetu sisi kejeli hazitakuwa sehemu yetu ,Tuna mambo mengi ya kueleza yaliyofanywa katika vijiji ,vitongoji na katika mikaa.”

 

   

The post CCM kutumia 4R za rais Samia katika uchaguzi serikali za mitaa :CPA Makala first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/xO9y8SX
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CCM kutumia 4R za rais Samia katika uchaguzi serikali za mitaa :CPA Makala
CCM kutumia 4R za rais Samia katika uchaguzi serikali za mitaa :CPA Makala
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241107-WA0006-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/ccm-kutumia-4r-za-rais-samia-katika.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/ccm-kutumia-4r-za-rais-samia-katika.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy