SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Mwakatalimo ameweka wazi kwamba Simba inaondoka kwenye ule mfumo wa uendeshaji wa kizamani hivyo inakwe...
SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Mwakatalimo ameweka wazi kwamba Simba inaondoka kwenye ule mfumo wa uendeshaji wa kizamani hivyo inakwenda katika hatua mpya ya mabadiliko.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kuhusu Haji Manara kuibukia Yanga akitokea Simba ameweka wazi kwamba viongozi wa Simba wanazidi kufanya kazi bila kubishana na mtu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS