GIROUD ACHEKELEA KUKAMILISHA DILI LAKE AC MILAN
HomeMichezo

GIROUD ACHEKELEA KUKAMILISHA DILI LAKE AC MILAN

OLIVIER Giround amekamilisha dili lake la usajili ndani ya AC Milan inayoshiriki Serie A akitokea Klabu ya Chelsea inayotumia Uwanja wa Sta...

OLIVIER Giround amekamilisha dili lake la usajili ndani ya AC Milan inayoshiriki Serie A akitokea Klabu ya Chelsea inayotumia Uwanja wa Stamford Bridge kwa mechi zake za nyumbani.

Raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 34 alifanyiwa vipimo siku ya Ijumaa kabla ya kukamilisha dili hilo ambalo amelifurahia huku ada ya usajili wake ikifichwa.

Giroud, alijiunga na Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu England kwa sasa inanolewa na Kocha Mkuu, Thomas Tuchel kwa dau la pauni milioni 18, Januari 2018 ameshinda taji la FA, Europa League na Mei alitwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya katika zama zake za kuitumikia Chelsea.

Nyota huyo amewashukuru viongozi na mashabiki wa Chelsea kwa kuwa naye kwa muda ambao alikuwa hapo huku akibainisha kwamba anahitaji kushinda mataji mengi zaidi ndani ya AC Milan.

Kushinda kwake kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Chelsea kumeongeza thamani yake ambapo kwenye mshahara wake mpya ndani a kikosi cha AC Milan atakuwa anapewa na bonasi

Baada ya kumwaga wino nyota huyo amesema:"Malengo yangu ni kuona kwamba tunashinda mataji mengi zaidi. Hii ndio sababu mimi ninacheza mpira kikubwa ni kuona kwamba ninafanya ushindani,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GIROUD ACHEKELEA KUKAMILISHA DILI LAKE AC MILAN
GIROUD ACHEKELEA KUKAMILISHA DILI LAKE AC MILAN
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhybiJ0wDx1J9JSyIPaCi-YDEOgymKDr8rCAZZ2Cbk-rt70k-nZ8FveNPu2mDBXuwCLXDGcmF1QvJ4CnGljsan938kGOGyxC6h8D4KOHhbzw69EgdWND35ntaUaWjduo3JD17xAUhAPDEd4/w640-h640/acmilan-218179095_338034964467339_1684524773869742629_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhybiJ0wDx1J9JSyIPaCi-YDEOgymKDr8rCAZZ2Cbk-rt70k-nZ8FveNPu2mDBXuwCLXDGcmF1QvJ4CnGljsan938kGOGyxC6h8D4KOHhbzw69EgdWND35ntaUaWjduo3JD17xAUhAPDEd4/s72-w640-c-h640/acmilan-218179095_338034964467339_1684524773869742629_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/giroud-achekelea-kukamilisha-dili-lake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/giroud-achekelea-kukamilisha-dili-lake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy