KIKOSI CHA SIMBA KUANZA SAFARI LEO KUREJEA BONGO
HomeMichezo

KIKOSI CHA SIMBA KUANZA SAFARI LEO KUREJEA BONGO

  KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Didier Gomes leo kinatarajia kuanza safari ya kurejea Tanzania kikitokea nchini Morocco....

KAPITISHA MWAKA NCHIMBI BILA KUFUNGA, SAWA, LAKINI TUSIISHIE KUMCHEKA
CARRAGHER ANA MASHAKA KUHUSU LIVERPOOL KUWA NDANI YA NNE BORA
JOASH ONYANGO KUSEPA BONGO, HALI YAKE IPO HIVI

 


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Didier Gomes leo kinatarajia kuanza safari ya kurejea Tanzania kikitokea nchini Morocco. 


Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara walikuwa wameweka kambi kwa muda Morocco ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22.


Wakati wa maandalizi hayo walicheza mechi mbili za kirafiki ikiwa ni dhidi ya FAR Rabat na Olympique Club kwa lengo la kujiweka sawa na zote ngoma ilikuwa ni sare.


Taarifa rasmi iliyotolewa  na Simba inaeleza kuwa baada ya timu kurejea awamu ya pili ya maandalizi itajulikana wapi itafanyika baada ya wachezaji walioitwa timu zao za taifa kurejea ndipo watatoa taarifa kukuhu kambi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIKOSI CHA SIMBA KUANZA SAFARI LEO KUREJEA BONGO
KIKOSI CHA SIMBA KUANZA SAFARI LEO KUREJEA BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnCUyZhtbzkUbniLjtDK5P992Kbjli4D6hLq_PG8-khy92BRT23lwMWhAtahyk-ILkBwp2NabpdY5J4-MKFY1T5UgdDqRkUKHTqEDVv3pFPGLDjLBibd_4kCuwqevydvUQgSsV9_Hbhr13/w640-h430/Screenshot_20210828-040631_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnCUyZhtbzkUbniLjtDK5P992Kbjli4D6hLq_PG8-khy92BRT23lwMWhAtahyk-ILkBwp2NabpdY5J4-MKFY1T5UgdDqRkUKHTqEDVv3pFPGLDjLBibd_4kCuwqevydvUQgSsV9_Hbhr13/s72-w640-c-h430/Screenshot_20210828-040631_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kikosi-cha-simba-kuanza-safari-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kikosi-cha-simba-kuanza-safari-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy