HAJI MANARA:TUMEKUJA KUSAKA HESHIMA CONGO
HomeMichezo

HAJI MANARA:TUMEKUJA KUSAKA HESHIMA CONGO

  HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa kila kitu kuhusu maandalizi ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Vita kipo s...

BINGWA SIMBA SUPER CUP KUSEPA NA M 15,KESHO NI SIMBA V TP MAZEMBE
FISTON ATAJA SABABU YA KUSAINI DILI YANGA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

 


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa kila kitu kuhusu maandalizi ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Vita kipo sawa wanaingia uwanjani kusaka heshima.


Simba itamenyana na AS Vita ya Congo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Februari 12.

Jana, Februari 10 kikosi kimewasili Congo na kuanza kufanya mazoezi ambapo Joash Onyango ambaye alikuwa anaibukia majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe alikuwa miongoni mwa walioanza mazoezi. 

Akizungumza na Saleh Jembe,  Manara amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani na wataingia kea nidhamu pamoja na kusaka heshima.

"Tunatambua kwamba tunawakilisha nchi na mashindano haya ni makubwa hivyo tutapambana kusaka heshima pamoja na ushindi ndani ya uwanja.

"Wachezaji na benchi la ufundi lipo sawa kwa Watanzania kikubwa



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HAJI MANARA:TUMEKUJA KUSAKA HESHIMA CONGO
HAJI MANARA:TUMEKUJA KUSAKA HESHIMA CONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjQDkCjMpKKlGR9PhpXIazBgTDMLrDpDNFJ8tVWFoWLIjf9EQ2fWh7Lx6S4M83Lf4XaccqqZCnHusN6ucxNrL2SjnHGT_xKsLglILM2uOGtgZbSpK1B_ZQEnQVx_Y43wF2GY1rbgcAmbw1/w640-h640/IMG_20210211_055939_147.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjQDkCjMpKKlGR9PhpXIazBgTDMLrDpDNFJ8tVWFoWLIjf9EQ2fWh7Lx6S4M83Lf4XaccqqZCnHusN6ucxNrL2SjnHGT_xKsLglILM2uOGtgZbSpK1B_ZQEnQVx_Y43wF2GY1rbgcAmbw1/s72-w640-c-h640/IMG_20210211_055939_147.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/haji-manaratumekuja-kusaka-heshima-congo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/haji-manaratumekuja-kusaka-heshima-congo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy