Oman Yaondoa Katazo Kwa Abiria Kutoka Tanzania Kuingia Nchini Humo
HomeHabari

Oman Yaondoa Katazo Kwa Abiria Kutoka Tanzania Kuingia Nchini Humo

Ubalozi unapenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Oman imeondoa katazo la kuingia Oman kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine zilizokuwa kwe...

Wahukumiwa Miezi 30 Jela Kwa Kufanya Tendo La Ngono Mchana Barabarani
Freeman Mbowe na Wenzake Washinda Pingamizi Moja
Orodha Ya Watumishi Waliopata Vibali Vya Uhamisho Kwa Kubadilishana Vituo Vya Kazi Kwa Mwezi Julai - Oktoba, 2021

Ubalozi unapenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Oman imeondoa katazo la kuingia Oman kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine zilizokuwa kwenye kundi hili.

Hivyo basi kuanzia tarehe 1 September 2021 Abiria wanaopandia ndege zao Tanzania kuja Oman wataruhusiwa kuingia Oman kwa kutimiza masharti yafuatayo:
 

1. Kuwa na cheti cha chanjo ya Uvika 19 (COVID 19) kinachothibitisha kuwa abiria  amekamilisha dozi mbili za chanjo au dozi moja ya chanjo kwa zile ambazo dozi ni moja chanjo iwe imefanyika sio chini ya siku 14 kabla ya tarehe ya kuingia Oman

 

2. Cheti cha chanjo ni lazima kiwe na alama ya QR (QR Code)
   

 3. Chanjo iliyotumika ni lazima iwe miongoni mwa chanjo zilizoidhinishwa kutumika nchini

Oman

    4. Chanjo zilizoidhinishwa Oman ni Johnson and Johnson, AstraZeneca-Oxford,

AstraZeneca-Covishield, Pfizer ,Sinopharm, Sirovac, Sputnik na Moderna

    5. Cheti cha kupima Uvika 19 kinachoonyesha kutokuwa na maambukizi (Negative PCR

Test Certificate ), vipimo vifanyike masaa 72 kabla ya safari

Pamoja na kuwa suala la chanjo linabaki kuwa hiari ya mtu binafsi, lakini ni muhimu kufahamu kuwa hlari hii inakoma pale tu masharti, maelekezo na ya umma (public health) katika nchi mnayoishi zinapoelekeza vinginevyo au masharti ya mwajiri wako yanapoelekeza vinginevyo

kwa hali hii mnatakiwa kuzingatia kuwa serikali ya Oman imetoa maelekezo kuwa kuanzia tarehe 1 septemba 2021 wale wote wanaoingia kwenye maeneo ya umma na yenye mikusanyiko ya watu (PUBLIC PLACES) kama vile maofisi, maduka makubwa, hospital, usafiri wa umma na viwanja vya ndege ni lazima wawe na vyeti vya kuonyesha wamepata na kukamilisha chanjo ya uviko 19 Ubalozi unapenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Oman imeondoa katazo la kuingia Oman kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine zilizokuwa kwenye kundi hili.

Hivyo basi kuanzia tarehe 1 September 2021 Abiria wanaopandia ndege zao Tanzania kuja Oman wataruhusiwa kuingia Oman kwa kutimiza masharti yafuatayo:

    1. Kuwa na cheti cha chanjo ya Uvika 19 (COVID 19) kinachothibitisha kuwa abiria

amekamilisha dozi mbili za chanjo au dozi moja ya chanjo kwa zile ambazo dozi ni moja chanjo iwe imefanyika sio chini ya siku 14 kabla ya tarehe ya kuingia Oman

    2. Cheti cha chanjo ni lazima kiwe na alama ya QR (QR Code)
    3. Chanjo iliyotumika ni lazima iwe miongoni mwa chanjo zilizoidhinishwa kutumika nchini Oman

    4. Chanjo zilizoidhinishwa Oman ni Johnson and Johnson, AstraZeneca-Oxford,AstraZeneca Covishield,Pfizer,Sinopharm, Sirovac, Sputnik na Moderna

    5. Cheti cha kupima Uvika 19 kinachoonyesha kutokuwa na maambukizi (Negative PCR  Test Certificate ), vipimo vifanyike masaa 72 kabla ya safari

Pamoja na kuwa suala la chanjo linabaki kuwa hiari ya mtu binafsi, lakini ni muhimu kufahamu kuwa hlari hii inakoma pale tu masharti, maelekezo na ya umma (public health) katika nchi mnayoishi zinapoelekeza vinginevyo au masharti ya mwajiri wako yanapoelekeza vinginevyo
 

Kwa hali hii mnatakiwa kuzingatia kuwa serikali ya Oman imetoa maelekezo kuwa kuanzia tarehe 1 septemba 2021 wale wote wanaoingia kwenye maeneo ya umma na yenye mikusanyiko ya watu (PUBLIC PLACES) kama vile maofisi, maduka makubwa, hospital, usafiri wa umma na viwanja vya ndege ni lazima wawe na vyeti vya kuonyesha wamepata na kukamilisha chanjo ya uviko 19



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Oman Yaondoa Katazo Kwa Abiria Kutoka Tanzania Kuingia Nchini Humo
Oman Yaondoa Katazo Kwa Abiria Kutoka Tanzania Kuingia Nchini Humo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqTpp7zJux0lp5SEAlDaTKqPOE-42KjY1FDreq5y_nZxy93XZN6QgV7GzMfeEwFNwWiUYiPFNF92G5-k-UM7H1uiRge1PXRD7yrVRkjhyphenhyphenbOZm1Kw-vOi4x2SGXbzT4e6PdYYaIQb_UXySj/s0/1.bmp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqTpp7zJux0lp5SEAlDaTKqPOE-42KjY1FDreq5y_nZxy93XZN6QgV7GzMfeEwFNwWiUYiPFNF92G5-k-UM7H1uiRge1PXRD7yrVRkjhyphenhyphenbOZm1Kw-vOi4x2SGXbzT4e6PdYYaIQb_UXySj/s72-c/1.bmp
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/oman-yaondoa-katazo-kwa-abiria-kutoka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/oman-yaondoa-katazo-kwa-abiria-kutoka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy