Shule  za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta
HomeHabariTop Stories

Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta

Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 13, 2025
PPP waandaa zoezi la kuibua miradi Mikoa 12
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 12, 2025

Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Vijijini ili kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu katika wilaya hiyo.

Mhe. Kapinga ametoa ahadi hiyo Novemba 28, 2024 wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Mbungani iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Vijijini.

“Nitatoa kompyuta 139 ifikapo Januari 2025 ili zitumike katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya Wilaya Mbinga Vijijini kwa lengo la kuendelea kuchochea kasi ya ukuaji wa maendeleo ya Elimu nchini.” Amesema Mhe. Kapinga

Aidha, pamoja na kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Mbungani wilayani Mbinga, Mhe.Kapinga amechangia fedha ili kuongeza nguvu katika ujenzi wa nyumba hiyo.

Akizungumza na Wazee wa Kijiji cha Kindimbajuu katika Halmashauri hiyo, amesema kuwa Serikali inaendelea na hatua za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo usambazaji wa umeme kwenye Vitongoji ili kuhakikisha huduma hiyo inawafikia Watanzania wote bila kujali umbali aliopo mwananchi.

The post Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/0XUH8Ph
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta
Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/WhatsApp-Image-2024-11-29-at-10.30.31-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/shule-za-msingi-139-mbinga-kupewa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/shule-za-msingi-139-mbinga-kupewa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy