Kutoka Mahakama kuu Kanda ya Mwanza, leo November 29, 2024 inatarajia kutoa hukumu ya kesi yakulawiti namba 1883/2024 inayomkabili aliyekuwa...
Kutoka Mahakama kuu Kanda ya Mwanza, leo November 29, 2024 inatarajia kutoa hukumu ya kesi yakulawiti namba 1883/2024 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda.
Kesi inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Erick Marley ambapo Dkt. Nawanda tayari amewasili katika chumba cha Mahakama akiwa na jopo la Mawakili wake.
The post Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa RC wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda kutolewa leo first appeared on Millard Ayo.
from Millard Ayo https://ift.tt/9Ws6CaE
COMMENTS