LIONEL MESSI ALITUMIA MIAKA 20 BARCELONA
HomeMichezo

LIONEL MESSI ALITUMIA MIAKA 20 BARCELONA

LIONEL Messi sasa msimu ujao atakuwa katika changamoto mpya baada ya mabosi wake Barcelona kutangaza rasmi Agosti 5 kwamba hatakuwa ndani ...

MTIBWA SUGAR YAPANIA KUTEMBEZA DOZI
REKODI ZA UBINGWA WA SIMBA, WAMEKOMBA TUZO ZOTE ZA UTUPIAJI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

LIONEL Messi sasa msimu ujao atakuwa katika changamoto mpya baada ya mabosi wake Barcelona kutangaza rasmi Agosti 5 kwamba hatakuwa ndani ya kikosi hicho kutokana na anguko la kiuchumi katika timu hiyo lililotokana na janga la virusi vya Corona.


Raia huyo wa Argentina ambaye ni mshambuliaji ametumia maisha yake ya mpira ndani ya Barcelona kwa muda wa miaka 20.

Ni mshindi wa Ballon d'Or 6 akiwa amemzidi moja mshindani wake wa karibu Cristiano Ronaldo raia wa Ureno ambaye anazo tano mkononi.

Kwa muda wa miaka 20, mchango wake ni mabao 672 na amecheza jumla ya mechi 778 akiwa ni mchezaji pekee ambaye ana mabao mengi, amecheza mechi nyingi na mataji mengi ndani ya timu.

Ni mchezaji pekee ambaye katika historia alishinda Ballon d'Or, mchezaji bora wa FIFA, taji la Pichichi na kiatu cha ufungaji bora kwa msimu mmoja ilikuwa ni msimu wa 2009/10.

Pia ni mchezaji ambaye alitupia jumla ya mabao 26 katika El Clasico. Ballon d'Or zake sita ilikuwa ni 2009,2010,2011,2012,2015 na 2019.

Messi alifunga jumla ya hat trick 48 akiwa Barcelona ikiwa ni rekodi kubwa kwake ndani ya timu hiyo.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIONEL MESSI ALITUMIA MIAKA 20 BARCELONA
LIONEL MESSI ALITUMIA MIAKA 20 BARCELONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJeu6iG4-HlEtTb0GdLoVSMQ_pfrJT9UCezGSYrhwTMtHmDAP-sBebSAIW0yaVFazJ60kK1B2AEChZgwgmfbpI9-mQBa-7w_T5cr2nZSF-BOIIjn5NQnq9cvzW3adqSiMBpJrfd5xRqatT/w640-h480/Messi+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJeu6iG4-HlEtTb0GdLoVSMQ_pfrJT9UCezGSYrhwTMtHmDAP-sBebSAIW0yaVFazJ60kK1B2AEChZgwgmfbpI9-mQBa-7w_T5cr2nZSF-BOIIjn5NQnq9cvzW3adqSiMBpJrfd5xRqatT/s72-w640-c-h480/Messi+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lionel-messi-alitumia-miaka-20-barcelona.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lionel-messi-alitumia-miaka-20-barcelona.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy