Mbunge Kiswaga Aahidi Maendeleo Jimbo La Kalenga Mbele Ya Waziri Mkuu
HomeHabari

Mbunge Kiswaga Aahidi Maendeleo Jimbo La Kalenga Mbele Ya Waziri Mkuu

Na Fredy mgunda,Iringa. Mbunge wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa ameahidi kufanya kazi za kimaendeleo na kuleta maendeleo ya kwa wananc...

Bayern Munich wamemteua Vincent Kompany kama kocha wao mpya kwa mkataba hadi Juni 2027.
Gareth Southgate alikataa mazungumzo na Manchester United.
Papa aomba msamaha kwa kutumia lugha mbaya.


Na Fredy mgunda,Iringa.
Mbunge wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa ameahidi kufanya kazi za kimaendeleo na kuleta maendeleo ya kwa wananchi wa jimbo hilo mbele ya waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa.

Akizungumza mbele ya wananchi wa kijiji cha  Ifunda wakati wa ziara ya waziri mkuu,Mbunge wa jimbo Kalenga Jackson Kiswaga alisema kuwa ameomba nafasi ya kuwa mbunge kwa lengo la kuhakikisha anashirikiana na wananchi kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo.

Kiswaga alisema kuwa anamikakati imara na mizuri ambayo itasaidia kukuza uchumi kwa wananchi kwa kuhakikisha anatatua changamoto mbalimbali zilizopo kwenye jimbo hilo.

 Aliongeza kuwa ili kukuza uchumi wa wananchi wa jimbo hilo yampasa ajitahidi kuhakikisha anatatua Mara kwa Mara changamoto ambazo zinarudisha nyuma maendeleo ya wananchi.

Aliwambia waziri mkuu kuwa ubunge wake atautumia kuhakikisha anatatua changamoto za wananchi wa jimbo lake na kutoa mchango mkubwa kwa nchi kwa ujumla kulingana na wajibu aliopewa.

"Mimi kiswaga kama kiswaga nimekuja jimbo la Kalenga kuswaga maendeleo kama jina langu lilivyo hivyo hapa hakuna kula ni kuhakikisha naswaga maendeleo kwa kwenda mbele"alisema kiswaga

Kwa upande wake waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa alisema kuwa mbunge kiswaga ameaminiwa kuwawakilisha wananchi bungeni hivyo anapaswa kufanya kazi na kutatua changamoto za wananchi wa jimbo la Kalenga.

Mheshimu waziri mkuu alisema kuwa anaimani na mbunge huyo kufanya kazi viziri za kuhakikisha anatatua changamoto za wananchi na kuwatengenezea njia ya kufanya kazi za kimaendeleo.

Alisema kuwa anauhakika kuwa kiswaga ataleta mabadiliko katika jimbo hilo kutokana na jina lake na uchapaji kazi alionao kabla hata hajawa mbunge wa jimbo hilo.





Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mbunge Kiswaga Aahidi Maendeleo Jimbo La Kalenga Mbele Ya Waziri Mkuu
Mbunge Kiswaga Aahidi Maendeleo Jimbo La Kalenga Mbele Ya Waziri Mkuu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwtt_tyfTo6B7w6Z6eg0MGmV3F1VdAVbR0IOjCXDQ63c6qrvnOJ_fWEAjtdMgjDGRf_F0Lw620ZN7RnJA0Ac5z6M3TPvDABlfBZxgNc13kL1WxrP3dXFl91zvn8ns-3KghIxyLBWcgcgoH/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwtt_tyfTo6B7w6Z6eg0MGmV3F1VdAVbR0IOjCXDQ63c6qrvnOJ_fWEAjtdMgjDGRf_F0Lw620ZN7RnJA0Ac5z6M3TPvDABlfBZxgNc13kL1WxrP3dXFl91zvn8ns-3KghIxyLBWcgcgoH/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mbunge-kiswaga-aahidi-maendeleo-jimbo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mbunge-kiswaga-aahidi-maendeleo-jimbo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy