AZAM FC WAPO TAYARI KWA MZUNGUKO WA PILI
HomeMichezo

AZAM FC WAPO TAYARI KWA MZUNGUKO WA PILI

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mzunguko wa pili kutokana na maandalizi ambayo wameyafanya na bad...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
VIDEO: AISHI MANULA KIPA NAMBA MOJA WA SIMBA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA AL MERRIKH

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mzunguko wa pili kutokana na maandalizi ambayo wameyafanya na bado wanaendelea kuyafanya.

Azam FC ipo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina ambaye alichukua mikoba ya Kocha Mkuu,Aristica Cioaba ambaye alifutwa kazi kwa kile ambacho walieleza kuwa timu hiyo haina mwendo mzuri.

Iliweka kambi visiwani Zanzibar na ilicheza mechi tatu za kirafiki ambapo ilishinda mechi mbili na kupoteza mechi moja.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na wana amini watarejea kwenye kasi ya mwanzo.

"Wachezaji wana ari na kila mmoja amekuwa akifanya vizuri ndani ya uwanja hasa kupitia mechi za kirafiki ambazo zimetujenga na kutufanya tuzidi kuwa imara.

"Kikubwa ambacho kwa sasa tunakifikiria ni kuendelea kuwa kwenye ubora wetu na kupata matokeo chanya ambayo yatatufanya tuzidi kuwa imara," amesema.

Kwenye msimamo Azam FC ipo nafasi ya tatu imekusanya jumla ya pointi 32.Kwenye mechi hizo za kirafiki wachezaji ambao walikuwa hawapati nafasi kikosi cha kwanza ikiwa ni pamoja na Awesu Awesu ambaye ni ingizo jipya kutoka Kagera Sugar waliweza kuonyesha makeke yao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC WAPO TAYARI KWA MZUNGUKO WA PILI
AZAM FC WAPO TAYARI KWA MZUNGUKO WA PILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiV_7iuuw2v-8EM0N3Shyt9QrCRwGuFnRl1aogbvZBaMddDBUvk63qY2kGI7hgTL_YGNsL60rbumVcagMlb7rPUgDhW-fgH5CydzKox0gEZnnBmJDiCj8SUyTRjxXggJSPTNLHkSjvLdwWX/w554-h640/Awesu+kazini.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiV_7iuuw2v-8EM0N3Shyt9QrCRwGuFnRl1aogbvZBaMddDBUvk63qY2kGI7hgTL_YGNsL60rbumVcagMlb7rPUgDhW-fgH5CydzKox0gEZnnBmJDiCj8SUyTRjxXggJSPTNLHkSjvLdwWX/s72-w554-c-h640/Awesu+kazini.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/azam-fc-wapo-tayari-kwa-mzunguko-wa-pili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/azam-fc-wapo-tayari-kwa-mzunguko-wa-pili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy