JEMBE LA KAZI YANGA LAANZA MATIZI, MANULA ANAJUA SHUGHULI YAKE
HomeMichezo

JEMBE LA KAZI YANGA LAANZA MATIZI, MANULA ANAJUA SHUGHULI YAKE

 BALAMA Mapinduzi, kiungo mshambuliaji wa Yanga tayari ameshaanza mazoezi mepesi kwa ajili ya kujiweka sawa na msimu ujao wa 2021/22. Nyo...

VIDEO: SHABIKI WA SIMBA, NINJA KUTOKA MAFINGA ATUMA UJUMBE HUU YANGA
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII KWA SASA
VIDEO: NYONI ABAINISHA KWAMBA WALITAMBUA KUWA MCHEZO UTAKUWA NGUMU,

 BALAMA Mapinduzi, kiungo mshambuliaji wa Yanga tayari ameshaanza mazoezi mepesi kwa ajili ya kujiweka sawa na msimu ujao wa 2021/22.

Nyota huyo ambaye anakumbukwa na mshikaji wake Aishi Manula kwa kumtungua bao la nje ya 18 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 4,2020 alikuwa nje kwa muda akitibu majeraha ya funda la mguu.

Kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu Bara ulikuwa ni wa kukata na shoka kwa kuwa Simba ilikuwa inapewa nafasi ya kushinda baada ya kufunga mabao mawili ya kuongoza yaliyofungwa na Meddie Kagere kwa penalti pamoja na Deo Kanda. 

Aliumia kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ndanda FC.


Kutokana na tatizo hilo alikuwa nje kwa msimu mzima wa 2020/21 akitibu majeraha yake na aliweza kupelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.

Taarifa kutoka nchini Morocco zimeeleza kuwa nyota huyo ameanza mazoezi ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

Yanga imeweka kambi kwa muda nchini Morocco na inatarajiwa kurejea Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya Mwananchi Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 29. Uwanja wa Mkapa.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JEMBE LA KAZI YANGA LAANZA MATIZI, MANULA ANAJUA SHUGHULI YAKE
JEMBE LA KAZI YANGA LAANZA MATIZI, MANULA ANAJUA SHUGHULI YAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0bhIlFtV5jO7PzXjoldW6JThbSxFvDa7oAde7iiq2QXK7NyrsN1Tc4olKgnCgDDYY1mvlP-S6O_Bfo8Ej939ERcTvyqJBe9annhAhwDSMcCSXiLtMARP2_naQOO30Bpz2miH8xB9_qV93/w640-h610/238825130_388032662671070_6817714118640776463_n+%25281%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0bhIlFtV5jO7PzXjoldW6JThbSxFvDa7oAde7iiq2QXK7NyrsN1Tc4olKgnCgDDYY1mvlP-S6O_Bfo8Ej939ERcTvyqJBe9annhAhwDSMcCSXiLtMARP2_naQOO30Bpz2miH8xB9_qV93/s72-w640-c-h610/238825130_388032662671070_6817714118640776463_n+%25281%2529.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/jembe-la-kazi-yanga-laanza-matizi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/jembe-la-kazi-yanga-laanza-matizi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy