Serikali kuboresha maeneo ya makumbusho ya wapigania uhuru
HomeHabari

Serikali kuboresha maeneo ya makumbusho ya wapigania uhuru

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali itaendelea kuyalinda, kuyasimamia, kuyatangaza na kuyaboresha maeneo y...

DC Iramba Aipongeza Wizara Ya Maji
Serikali Yawataka Mafundi Simu kuacha tabia ya kufuta IMEI namba wanapoletewa simu na wateja wao.
Kampuni 2 Kutekeleza REA III Awamu Ya Pili Tabora


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali itaendelea kuyalinda, kuyasimamia, kuyatangaza na kuyaboresha maeneo ya Makumbusho ya Wapigania Uhuru ili kuyafanya yawe vivutio vya utalii.

Ameyasema hayo jana bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu maswali kuhusu namna ya kukarabati miundombinu na kuboresha makumbusho ya wapigania uhuru.

Amesema kupitia fedha za UVIKO-19 kiasi cha shilingi bilioni 2.45, Serikali itakarabati miundombinu ya barabara na kuboresha maeneo ya Makumbusho na Malikale ili kuvutia watalii.

Akifafanua kuhusu ujenzi wa barabara ya kwenda Kituo cha Makumbusho ya Mkwawa, amesema, Wizara ya Maliasili na Utalii itashirikiana na wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) wa mkoa wa Iringa kuifanyia ukarabati barabara hiyo.

Aidha, kuhusu ukarabati wa Jengo la Chifu Adam Sap Mkwawa amesema Wizara inaendelea kufanya mazungumzo na familia husika ili litumike kwa ajili ya kuhamasisha Utalii.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali kuboresha maeneo ya makumbusho ya wapigania uhuru
Serikali kuboresha maeneo ya makumbusho ya wapigania uhuru
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEge9XblSX_pqJxDVULatVUfy6itberk8JGmnZVcZiDorz0PAed0zrzaxbyDPRTckU0Tee2x4WvNwpEHk-DbPCBVvt-lqXrZT26OlTpdfQMJzOPOQS4qXLBzBaBQqOq9B79usYl43tiHfFbwhyVZ6UWaxYsVbMspZCVrAJG1Y3FZFngjaUT4Oj286ENJ9A/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEge9XblSX_pqJxDVULatVUfy6itberk8JGmnZVcZiDorz0PAed0zrzaxbyDPRTckU0Tee2x4WvNwpEHk-DbPCBVvt-lqXrZT26OlTpdfQMJzOPOQS4qXLBzBaBQqOq9B79usYl43tiHfFbwhyVZ6UWaxYsVbMspZCVrAJG1Y3FZFngjaUT4Oj286ENJ9A/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/serikali-kuboresha-maeneo-ya-makumbusho.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/serikali-kuboresha-maeneo-ya-makumbusho.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy