SHABIKI wa Simba maarufu kama Ninja kutoka Mafinga amesema kuwa walikutana na timu kubwa ambayo iliweza kuwapa shida jana kwenye mchezo wa n...
SHABIKI wa Simba maarufu kama Ninja kutoka Mafinga amesema kuwa walikutana na timu kubwa ambayo iliweza kuwapa shida jana kwenye mchezo wa nusu fainali mbele ya Azam FC, Uwanja wa Majimaji huku akiweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Yanga watafunga mageti ili timu isitoke.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS