BIASHARA UNITED YAMALIZA BIASHARA NA MAJEMBE YA KAZI
HomeMichezo

BIASHARA UNITED YAMALIZA BIASHARA NA MAJEMBE YA KAZI

 BIASHARA United wanaopenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wameanza kazi ya kutambulisha majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22. ...

TANZANIA KUTOA TIMU NNE KIMATAIFA, MCHORO MZIMA UPO NAMNA HII
TANZANIA PRISONS MGUU SAWA KUENDELEA NA PIRA GWARIDE
MANULA AWAPA MBINU WASUDANI ILI ASAINI DILI JIPYA

 BIASHARA United wanaopenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wameanza kazi ya kutambulisha majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.

Timu hiyo iliwatema nyota wake 17 ambao walikuwa nao msimu uliopita na kuwatakia kila la kheri itashiriki mashindano ya kimataifa katika Kombe la Shirikisho.

 

Miongoni mwa nyota ambao wametambulishwa ni pamoja na Kassim Mdoe kutoka Tanzania Prisons  ametua mikononi mwa 'Wanajeshi wa Mpakani', Biashara United kwa dili la miaka miwili.


Jana Agosti 10 ilimtambulisha Aniseth Revocatus kutoka Mwadui FC, Toyo Odongo Matthew kutoka Zoo United ya Kenya.


Agosti 9 ilimtambulisha nyota Atupele Green Jakscon.Kwa mujibu wa uongozi wa Biashara United umeweka wazi kwamba usajili umekamilika kilichobaki ni muda wa kuwatambulisha wachezaji wao.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BIASHARA UNITED YAMALIZA BIASHARA NA MAJEMBE YA KAZI
BIASHARA UNITED YAMALIZA BIASHARA NA MAJEMBE YA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrK-ZczEm5MuhxB1msbrm8TKCEZYuMhW5Hxk5vJzO0af9NdPibF89qF_Fhp0aiMNEkG80tV_G3fDSZIaEuOo0jpEfY0Ji-p3Z6sQS_eoQARG3gPJIZl1WDJ6ATx4VSsfHbCJ4RiOX_s5f0/w640-h360/azamsports2-234155498_192994469532951_1645845754235339125_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrK-ZczEm5MuhxB1msbrm8TKCEZYuMhW5Hxk5vJzO0af9NdPibF89qF_Fhp0aiMNEkG80tV_G3fDSZIaEuOo0jpEfY0Ji-p3Z6sQS_eoQARG3gPJIZl1WDJ6ATx4VSsfHbCJ4RiOX_s5f0/s72-w640-c-h360/azamsports2-234155498_192994469532951_1645845754235339125_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/biashara-united-yamaliza-biashara-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/biashara-united-yamaliza-biashara-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy