MANULA AWAPA MBINU WASUDANI ILI ASAINI DILI JIPYA
HomeMichezo

MANULA AWAPA MBINU WASUDANI ILI ASAINI DILI JIPYA

  KIPA namba moja wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Aishi Manula amewapa mbinu mabosi wa Sudan wanaohitaji saini...

LUKAKU NA ZLATAN YAWAKUTA, WAPIGWA PINI ITALIA
MORRISON AWEKA REKODI TATU KWA MKAPA KAMA NAMBA YA JEZI
YANGA WAZUNGUMZIA HALI ZA YACOUBA NA NTIBANZOKIZA

 


KIPA namba moja wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Aishi Manula amewapa mbinu mabosi wa Sudan wanaohitaji saini yake namna ya kumpata.

Manula ni miongoni mwa wachezaji ambao watakwea pipa leo kuelekea nchini Misri kuvaana na Al Ahly katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuchezwa Aprili 9.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Manula alikaa langoni na hakuruhusu kufungwa na Waarabu hao ambao walipoteza pointi tatu mazima kwa Mkapa.

Amekuwa akitajwa kuwekwa kwenye rada za Al Merrikh ya Sudan ambayo imekuwa ikitajwa kuweka dau la milioni 230 ili kumpata ili akaongeze nguvu katika kikosi hicho ambacho kimeishia hatua ya makundi, Ligi ya Mabingwa Afrika.

Rais wa Al Merrikh, Adam Sudacal amekuwa akitajwa kuwa mstari wa mbele kuongeza nguvu ya kuhitaji saini ya mzawa huyo ambaye ni chaguo namba moja kwa Gomes.

Kuhusu dili hilo Manula amesema:"Nimeskia kuna ofa nyingi juu yangu nami ninaskia furaha kwa kuwa kuna timu ambazo zimevutiwa na huduma yangu.

"Siwezi kwenda popote kwa sasa bila ruhusu ya viongozi wangu kwa sababu mimi sio mchezaji huru bado nina mkataba, ikiwa wanahitaji huduma yangu basi waongee na viongozi" .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANULA AWAPA MBINU WASUDANI ILI ASAINI DILI JIPYA
MANULA AWAPA MBINU WASUDANI ILI ASAINI DILI JIPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgm0S94tPizGhzFrOJI3wh1pevjAwpbd1rUjafcOdAhxax7cnqfWVXjxtj5F7LYEoJOshsQQclfetT95wkArmtl8bBHEkcDfqHB6OGG16YOtspvCmTPeGzzb2t05xSeo_AdIE1Lc7Amy-M3/w640-h360/Manula+v+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgm0S94tPizGhzFrOJI3wh1pevjAwpbd1rUjafcOdAhxax7cnqfWVXjxtj5F7LYEoJOshsQQclfetT95wkArmtl8bBHEkcDfqHB6OGG16YOtspvCmTPeGzzb2t05xSeo_AdIE1Lc7Amy-M3/s72-w640-c-h360/Manula+v+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manula-awapa-mbinu-wasudani-ili-asaini.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manula-awapa-mbinu-wasudani-ili-asaini.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy