SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA WAARABU
HomeMichezo

SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA WAARABU

 MOHAMED Hussein, nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa morali ya wachezaji ni kubwa na wanaamini watapata matokeo chanya mbele ya Al Ahl...


 MOHAMED Hussein, nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa morali ya wachezaji ni kubwa na wanaamini watapata matokeo chanya mbele ya Al Ahly ya Misri.

Ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly, Februari 23, Uwanja wa Mkapa.

Tayari Waarabu hao wa Misri wameshawasili Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo na mashabiki 30,000 wataruhusiwa kuingia pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Hussein amesema:"Morali ya wachezaji ni kubwa na kila mmoja anahitaji ushindi hivyo tutapambana kupata matokeo mazuri mbele ya Al Ahly.

"Kila mmoja wetu anajua kwamba ushindani ni mkubwa, tunahitaji kufanya vizuri kwenye mechi zetu za kitaifa na kimataifa hivyo mashabiki waendelee kutupa sapoti,".

Kwenye kundi A, Al Ahly anaongoza kwa idadi ya mabao mengi ambayo ni matatu anafuatiwa na Simba mwenye bao moja baada ya kuwafunga AS Vita DR Congo.

Wote kibindoni wana pointi tatu hivyo mshindi wa mchezo huo atajijengea ufalme nafasi ya kwanza.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA WAARABU
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA WAARABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSJvzHx-hWiHpM1tI11wd0NCdVF8q8VaWExeLcaBzETnul17ngvT-Gqd0OL0sG4XZ9RI82t567kcCGX6kx45XIFuQGR4RMOZsvTVaEMgczKm3ZHd8gE69sNEgVe1SBE88NJyXLbu9wauCZ/w640-h640/IMG_20210220_090854_493.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSJvzHx-hWiHpM1tI11wd0NCdVF8q8VaWExeLcaBzETnul17ngvT-Gqd0OL0sG4XZ9RI82t567kcCGX6kx45XIFuQGR4RMOZsvTVaEMgczKm3ZHd8gE69sNEgVe1SBE88NJyXLbu9wauCZ/s72-w640-c-h640/IMG_20210220_090854_493.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yazipigia-hesabu-pointi-tatu-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yazipigia-hesabu-pointi-tatu-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy