TANZANIA PRISONS MGUU SAWA KUENDELEA NA PIRA GWARIDE
HomeMichezo

TANZANIA PRISONS MGUU SAWA KUENDELEA NA PIRA GWARIDE

 SHABAN Kazumba, kocha msaidizi wa kikosi cha Tanzania Prisons amesema kuwa kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi ...

SUALA LA UBINGWA WA LIGI KUU BARA, YANGA WAFUNGUKA
EPL, LALIGA NA BUNDESLIGA KUTAMATIKA WIKIENDI HII
SIMBA WAZIDI KUIVUTIA KASI KAIZER CHIEFS, MUGALU AKIMBIZA KWA MABAO

 SHABAN Kazumba, kocha msaidizi wa kikosi cha Tanzania Prisons amesema kuwa kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Tanzania Prisons ipo nafasi ya 8 baada ya kucheza jumla ya mechi 23 kwa msimu wa 2020/21.

Imeshinda mechi 7, sare 10 na imepoteza jumla ya mechi 6 na ina pointi zake kibindoni 31.

Mechi yao ya ufunguzi msimu huu ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa na iliporudiana nao mara ya pili, Uwanja wa Nelson Mandela, ubao ulisoma Prisons 1-1 Yanga.

Kazumba amesema:"Tupo tayari kwa ajili ya mechi zetu za ligi na tunaamini kwamba tutapata matokeo chanya hivyo kikubwa ni sapoti kutoka kwa mashabiki.

"Wachezaji wapo imara na kila mmoja ana morali kubwa ya kusaka ushindi na tunahitaji kumaliza ligi tukiwa kwenye nafasi nzuri," .

Mchezo wake ujao wa ligi ni dhidi ya Dodoma Jiji, unatarajiwa kuchezwa Aprili 10, Uwanja wa Nelson Mandela.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TANZANIA PRISONS MGUU SAWA KUENDELEA NA PIRA GWARIDE
TANZANIA PRISONS MGUU SAWA KUENDELEA NA PIRA GWARIDE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrcongdqcmX08vD2ZWE-fyc3htR9-u4BRo4Xj5ga8etgmBOnA8BboFo40d42uQSL5c-Xv9uAs_pn3qV2tBIpTmRscfPUZPcbBA9savlUcjF33rPvVXjfeM4alpx00Ij0S2NHZ4noKWGHoG/w598-h640/tanzania+prisons.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrcongdqcmX08vD2ZWE-fyc3htR9-u4BRo4Xj5ga8etgmBOnA8BboFo40d42uQSL5c-Xv9uAs_pn3qV2tBIpTmRscfPUZPcbBA9savlUcjF33rPvVXjfeM4alpx00Ij0S2NHZ4noKWGHoG/s72-w598-c-h640/tanzania+prisons.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/tanzania-prisons-mguu-sawa-kuendelea-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/tanzania-prisons-mguu-sawa-kuendelea-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy