SIMBA KUIBUKIA CONGO LEO,WAWILI KUIKOSA AS VITA
HomeMichezo

SIMBA KUIBUKIA CONGO LEO,WAWILI KUIKOSA AS VITA

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Februari 10 kinatarajiwa kuendelea na safari kuelekea Congo kwa ajili ya m...

VIDEO: LUIS KUFANYIWA VIPIMO AL AHLY, NABI AKOSHWA NA DJUMA NA MULOKO
SIMBA KUYAKOSA MABAO 42 NDANI YA LIGI KUU BARA MAZIMA
CRISTIANO RONALDO:REKODI YANGA NA REAL MADRID IMEANDIKWA

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Februari 10 kinatarajiwa kuendelea na safari kuelekea Congo kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa hatua ya makundi.


Jana, Februari 9 msafara wa wachezaji pamoja na benchi la ufundi waliweka kambi kwa muda Addis Ababa baada ya kuwasili hapo wakitokea Bongo, hivyo leo watamalizia ngwe ya safari ya mwisho.


Katika msafara huo ni nyota wawili ambao wamebaki Bongo ambao ni Perfect Chikwende yeye ni maalumu kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na nahodha John Bocco ambaye anasumbuliwa na majeraha aliyopata kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum. 

Hivyo nyota hao wawili wataukosa mchezo huo. Huku nyota Jonas Mkude ambaye alikuwa nje akitumikia adhabu ya utovu wa nidhamu yupo ndani ya kikosi.


Simba itatupa kete yake ya kwanza Februari 12 dhidi ya AS Vita ya Congo inayonolewa na Florent Ibenge ambaye anazijua mbinu za Simba.


Waliwahi kukutana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi msimu wa 2018, Simba ililala mabao 5-0 na kipa alikuwa ni Aishi Manula, zama za Patrick Aussems ambaye yupo zake ndani ya AFC Leopards ya Kenya.

Gomes amesema:"Tunatambua utakuwa mchezo mgumu ila kazi yetu ni kupambana kusaka ushindi ndani ya uwanja na inawezekana,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUIBUKIA CONGO LEO,WAWILI KUIKOSA AS VITA
SIMBA KUIBUKIA CONGO LEO,WAWILI KUIKOSA AS VITA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhs6kRtYBQgCtiNOSQP0906q_RkJbL6hY1W71hVkPtcrPRiZ9l2IcJ5O5_WqK_sYQjQCeb4PxnSGpwoZJ_Js_eId3CYfn1s9sep7wKX1rhVX6FSgGQN0RGQvPJ_6CZ6x_5szaF0eumxVy_5/w640-h432/IMG_20210210_063221_503.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhs6kRtYBQgCtiNOSQP0906q_RkJbL6hY1W71hVkPtcrPRiZ9l2IcJ5O5_WqK_sYQjQCeb4PxnSGpwoZJ_Js_eId3CYfn1s9sep7wKX1rhVX6FSgGQN0RGQvPJ_6CZ6x_5szaF0eumxVy_5/s72-w640-c-h432/IMG_20210210_063221_503.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-kuibukia-congo-leowawili-kuikosa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-kuibukia-congo-leowawili-kuikosa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy