JANA Julai 15, Uwanja wa Azam Complex mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walicheza mchezo wa ligi na Azam FC ambapo baada ya dk 90 ubao ulisoma...
JANA Julai 15, Uwanja wa Azam Complex mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walicheza mchezo wa ligi na Azam FC ambapo baada ya dk 90 ubao ulisoma Azam FC 1-1 Simba, kabla ya mchezo kuanza Azam FC waliwapigia makofi mabingwa hao.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS