VURUGU ZA LIGI KUU BARA NI MPAKA JULAI BADALA YA KUISHA JUNI
HomeMichezo

VURUGU ZA LIGI KUU BARA NI MPAKA JULAI BADALA YA KUISHA JUNI

 ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) amesema kuwa msimu wa 2020/21 utakamilika Julai tofauti na awali ambapo uli...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ACHEZA SINGELI, KISA UBINGWA WA CECAFA
VIDEO: MZEE MPILI AIBUKA KARIAKOO, ASEPA NA KIJIJI CHAKE

 ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) amesema kuwa msimu wa 2020/21 utakamilika Julai tofauti na awali ambapo ulitarajiwa kukamilika Juni.

Mabadiliko hayo ya muda wa ligi kukamilika yametokana na kutokea kwa msiba wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli ambaye alitangulia mbele za haki Machi 17.

Kutokana na msiba huo ambao ni mkubwa kwa Tanzania na Afrika kiujumla kulikuwa na siku 21 za maombolze ambazo zinaendelea mpaka wakati huu na zinatarajiwa kukamilika Aprili 7.

Kasongo amesema:"Awali ligi yetu ya Tanzania Bara ilipaswa kumalizika tarehe 12 mwezi wa sita lakini kulingana na mabadiliko ligi itaisha tarehe 11 mwezi wa saba.

"Hii inatokana na kuwa na mabadiliko ambayo yamefanyika kwenye ligi kuendena na siku 21 ambazo ni za maombolezo," .

Leo TBLB imetoa ratiba ambayo inaonyesha kwamba Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na mechi za Kombe la Shirikisho zitarejea kuanzia Aprili 8.

Kwa timu ambazo zitaangukia kucheza Playoff 2020/21 zitacheza mchezo wa kwanza Julai 14 na ule wa pili utakuwa ni Julai 17 na fainali ya Kombe la Shirikisho itakuwa ni Julai 18, Kigoma huku shughuli zote zikitarajiwa kufungwa Julai 21 kwa tuzo kutoka TFF.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: VURUGU ZA LIGI KUU BARA NI MPAKA JULAI BADALA YA KUISHA JUNI
VURUGU ZA LIGI KUU BARA NI MPAKA JULAI BADALA YA KUISHA JUNI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_4jqJ3Jmxz3mLO18LHU-s3ZXe1KbM7c0UJzILKDncEvfpGahU_g5lkxeC4PAwRM0Mz36BfmVZvRQ851uOoYYUtuSM7CH-o90Tc_oCE96M4Pb3EUG2gOYzOMdYMKojdzkCr-U_CeF-kOt2/w640-h504/azam+bana.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_4jqJ3Jmxz3mLO18LHU-s3ZXe1KbM7c0UJzILKDncEvfpGahU_g5lkxeC4PAwRM0Mz36BfmVZvRQ851uOoYYUtuSM7CH-o90Tc_oCE96M4Pb3EUG2gOYzOMdYMKojdzkCr-U_CeF-kOt2/s72-w640-c-h504/azam+bana.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/vurugu-za-ligi-kuu-bara-ni-mpaka-julai.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/vurugu-za-ligi-kuu-bara-ni-mpaka-julai.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy