BODI YA LIGI YATAJA SIKU YA MECHI ZA LIGI KUU BARA PAMOJA NA KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA
HomeMichezo

BODI YA LIGI YATAJA SIKU YA MECHI ZA LIGI KUU BARA PAMOJA NA KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA

ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea Aprili 8 baada ya kutimiza...

VIDEO: WAKALA WA WACHEZAJI KUMLETA MCHEZAJI MWENYE UWEZO YANGA, AZUNGUMZA NA INJINIA
VIDEO: MO KUSEPA SIMBA, MANARA KUWASHA MOTO TENA,
VIDEO: YANGA: HAJI NI MALI YETU, ONYANGO ANA MIAKA YA KENYA

ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea Aprili 8 baada ya kutimiza siku 21 za maombolezo.

Ligi ilisimama kwa muda kutokana na msiba wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Joseph Magufuli ambapo zilitolewa siku 21 za maombolezo.

Kasongo amesema: "Ukitazama ratiba yetu ile ya awali ambayo tuliitoa kwa vilabu ilikuwa inaonyesha kwamba tarehe 3-4 michezo ya Kombe la Shirikisho, tarehe 6-8 tulikuwa tunarejea kwenye mechi za ligi.

"Kutokana na msiba tafsiri yake ni kwamba ile michezo ya Shirikisho na ile ya ligi nayo inakuwa haipo kwa sababu tupo kwenye maombolezo ya siku 21.

"Kumbuka kwamba siku 21 zinaisha tarehe 7 ambapo kulikuwa na mchezo wa ligi, tarehe 6 kulikuwa na mchezo wa ligi na tarehe 3-4 kulikuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho.

"Baada ya kuipitia ratiba yetu tumekuja na mabadiliko. Unaweza kuona kwamba ligi yetu inarejea tarehe 8, 9 na 10, michezo ya tarehe 6 na 7 itachezwa tarehe 9-10 michezo iliyopaswa kuchezwa tarehe 10 ipo palepale.

"Ligi yetu itaendelea tarehe 8, 9 na 10 itakuwa michezo ya awali ya kufungua ligi yetu kutoka pale ambapo tulisimama kwa siku 21 za maombolezo.

"Kuna baadhi ya michezo imeweza kufa inabidi itafutiwe siku nyingine na kuna michezo mingine ya kiporo nayo itatafutiwa siku," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BODI YA LIGI YATAJA SIKU YA MECHI ZA LIGI KUU BARA PAMOJA NA KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA
BODI YA LIGI YATAJA SIKU YA MECHI ZA LIGI KUU BARA PAMOJA NA KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpvspv4n2UxFnJ7LeLy1yMBtroKjq57qLn_m7SJlzAjjoRDwVOJO-GZQwyeeeaw9DNZSLzadQW-hy7UDGoRthGDaWg-2CjPLFdU7cx0u9bLbRE4SwT1p8nVpWOoT5ATchYzmdGiauopTL1/w614-h640/Adam+adam.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpvspv4n2UxFnJ7LeLy1yMBtroKjq57qLn_m7SJlzAjjoRDwVOJO-GZQwyeeeaw9DNZSLzadQW-hy7UDGoRthGDaWg-2CjPLFdU7cx0u9bLbRE4SwT1p8nVpWOoT5ATchYzmdGiauopTL1/s72-w614-c-h640/Adam+adam.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/bodi-ya-ligi-yataja-siku-ya-mechi-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/bodi-ya-ligi-yataja-siku-ya-mechi-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy