SIMBA HATA HAWAJUI ALIPO MSHAMBULIAJI WAO LOKOSA
HomeMichezo

SIMBA HATA HAWAJUI ALIPO MSHAMBULIAJI WAO LOKOSA

  KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa hajui alipo mshambuliaji wake Lokosa Junior. Junior raia wa Nigeria alisajiliw...

 


KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa hajui alipo mshambuliaji wake Lokosa Junior.

Junior raia wa Nigeria alisajiliwa na Simba kwa dili la miezi 6 na sababu kubwa ya usajili wake ni kwa ajili ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Akiwa ndani ya kikosi cha Simba hajaweza kuonekana kwenye mechi ya ushindani ambapo Simba ikiwa imecheza mechi nne za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi hajacheza mchezo hata mmoja.

Nafasi yake ya ushambuliaji amekuwa akianza Chris Mugalu pamoja na Meddie Kagere ambaye mechi nyingi amekuwa akianzia benchi huku John Bocco taratibu akirejea kwenye ubora wake.

Katika mazoezi ya Simba ambayo yanaendelea kwenye viwanja vya Simba Mo Arena vilivyoppo Bunju, Lokosa hajaonekana mazoezini huku habari zikieleza kuwa amevunjiwa mkataba wake na mabosi hao wa mtaa wa Msimbazi.

Kuhusu Lokosa, Gomes amesema:"Sijui kwa kweli kuhusu huyo, ila siwezi kulizungumzia jambo hilo ila ukweli ni kwamba sijamuona muda mrefu kwenye eneo la mazoezi," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA HATA HAWAJUI ALIPO MSHAMBULIAJI WAO LOKOSA
SIMBA HATA HAWAJUI ALIPO MSHAMBULIAJI WAO LOKOSA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6p4zZgc_lBysD0-tqSfe-j6revmR0XxZ2lVf4JqPmdKa1tzspp5Cr0lwNig0eVJC0mzukL7H4fOycFvJdmnnHU2uBiYipWqoOAusvUaHG_48nVm9XVTi7c2SX43TAGX20nd0R395xzSRU/w640-h430/Lokosa+tizi.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6p4zZgc_lBysD0-tqSfe-j6revmR0XxZ2lVf4JqPmdKa1tzspp5Cr0lwNig0eVJC0mzukL7H4fOycFvJdmnnHU2uBiYipWqoOAusvUaHG_48nVm9XVTi7c2SX43TAGX20nd0R395xzSRU/s72-w640-c-h430/Lokosa+tizi.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-hata-hawajui-alipo-mshambuliaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-hata-hawajui-alipo-mshambuliaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy