OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ili Simba asiwe bingwa inapaswa ifungwe mechi zote tatu na wapinzani wao waweze kufunga mech...
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ili Simba asiwe bingwa inapaswa ifungwe mechi zote tatu na wapinzani wao waweze kufunga mechi moja mabao zaidi ya 15 na anaamini kwamba hata wakifungwa mechi zote bado wanaweza kuwa mabingwa wa ligi. Azungumzia dili la Simba na Azam TV.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS