GADIEL ANAWEZA KUBAKI SIMBA, AJIBU NI PASUA KICHWA
HomeMichezo

GADIEL ANAWEZA KUBAKI SIMBA, AJIBU NI PASUA KICHWA

 LICHA ya beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi hao...


 LICHA ya beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi hao ili kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Chini ya Didier Gomes, Gadiel amekuwa na ushkaji mkubwa na benchi huku mshikaji wake Mohamed Hussein, akianza kwenye kikosi cha kwanza katika nafasi yake ambayo anaicheza.

Habari zinaeleza kuwa ni mkataba wa Ibrahim Ajibu ambaye ni kiungo unampasua kichwa Gomes kwa kuwa bado hajamuelewa kiungo huyo mshambuliaji aliyejiunga na timu yake ya zamani akitokea Klabu ya Yanga.

Ajibu amekuwa akisugua benchi pia tofauti na kiungo mwenzake Hassan Dilunga ambaye amekuwa akipata nafasi ya kucheza chini ya Gomes.

"Gadiel bado kuna uwezekano akabaki ndani ya Simba kwa kuwa bado hawajapata beki wa kushoto mzawa, ila Ajibu yule kweli ni pasua kichwa bado Gomes hajamuelewa.

"Ikiwa mazungumzo yatakwenda sawa basi anaweza kusaini dili jipya la kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa kuwa bado kipaji chake anacho ila anashindwa kujiamini kwa kuwa hajaanza kikosi cha kwanza katika mechi nyingi," ilieleza taarifa hiyo.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusu wachezaji wa Simba kusaini madili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo aliweka wazi kwamba bado mazungumzo yanaendelea na kila kitu kitakuwa sawa.

"Bado mchakato wa kuendelea kuboresha mikataba ya wachezaji inaendelea na kwa wale ambao Simba itawahitaji hawawezi kuondoka kwenda popote, kokote,".

Miongoni mwa nyota ambao wamesaini madili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo ni pamoja na Mohamed Hussein, John Bocco na Shomari Kapombe. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GADIEL ANAWEZA KUBAKI SIMBA, AJIBU NI PASUA KICHWA
GADIEL ANAWEZA KUBAKI SIMBA, AJIBU NI PASUA KICHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivcm0KgnLTAWq-k9M9GNmTjTNQ24_wi8hEXFR1QCJrRqv2mPLmDxkB7f6v_W6XNoLkOSEPz2g9uMGWUiFsLqgtnvwMsPz2AqXw3LePmeMjg_d37uDj5CLEF4cgnrGqlYUwJmf9p03V7jLF/w640-h542/Ajibu+na+Dilu.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivcm0KgnLTAWq-k9M9GNmTjTNQ24_wi8hEXFR1QCJrRqv2mPLmDxkB7f6v_W6XNoLkOSEPz2g9uMGWUiFsLqgtnvwMsPz2AqXw3LePmeMjg_d37uDj5CLEF4cgnrGqlYUwJmf9p03V7jLF/s72-w640-c-h542/Ajibu+na+Dilu.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/gadiel-anaweza-kubaki-simba-ajibu-ni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/gadiel-anaweza-kubaki-simba-ajibu-ni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy